Machuchu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2017
- 1,260
- 962
Kuna wanaume hawajali mke ila sio wote, ila kwa sasa nazan kama imezidi kila mtu analalamikia hawa viumbe. Kuna ndugu yangu analalamika haachiwi ela ya matumizi na mume ni mtu wa kusafili. Akiludi hata kitunguu cha 100/= hana na apo kaondok amekaa kalibu miezi mi3 na akiludi anasema hana ela. Mwanamke ana mwaka wa 5 haijui nguo mpya [HASHTAG]#chupi[/HASHTAG] wala dera la kuswalia ata Iddi. Kwa kifupi hamjali mwenzake, ila mwanaume neno [HASHTAG]#NAKUPENDA[/HASHTAG] haliishi kwa mkewe.