Ushauri kwa Wanawake/Mabinti

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,600
5,803
Natanguliza sallaam!.

Kuna jambo nimeona ni vyema niliseme pengine linaweza kuwa msaada kwa dada zetu.

Kumekuwa na changamoto kubwa ya kuolewa.. Hii ni kutokana kutooa, kwa kifupi kutoona umuhimu wa kuooa.....

#1..Wanawake mmejirahisisha sana kwa Wanaume.. Unakuta mwanamke hajaolewa lkn kila weekend unaenda kwa mwanaume, unalala kwake, unafanya usafi... Kwa kifupi unatekeleza majukumu kama mwanamke aliye ndani ya ndoa wakati huna ndoa........ Hapa huwezi kumshawishi mwanaume mfunge ndoa wakati kila saa upo kwake.

Nini kifanyike?
Wanawake mnapaswa kujitambua na kutambua thamani yenu.....

Hata sisi wanaume tunawashangaa sana wanawake mnavyokuwa rahisi rahisi... Kitu kizuri hakiwezi kupatikana kirahisi.

#2. Aina ya mavazi mnayovaa.... Kukaa uchi ni sababu kuu ya kupishana na ndoa...

Nani anayependa mapaja ya mkewe yawe yanaonwa na kila mtu??

Nani anayependa matiti ya mkewe yawe yanaonwa na kila mtu??

Urembo wa mwanamke haupatikani kwa kutembea uchi.... Ukitembea uchi utahamasisha kungonoka lkn si kuolewa....

Endeleeni hivyo hivyo tutaendelea kuwatumia kwa dharura na kuwazalisha tu .. Ila hatutadhubutu kuwaweka ndani mpaka pale mtakapokuwa na akili timamu..
 
Ukae huko kwenu au kwako ndio kiwe kigezo nikuoe??
Weekend njoo upike ufue unyooshe nguo zangu, upige deki nk nk.
Hapo ndo utanishawishi

Ushauri wangu wadada mnaotaka kuolewa, jitahidi kumganda huyo jamaa yako mda wote.

Akiomba mpe tu, akikuita nenda mda wowote.
Hivo yaani.
 
ndo umwambie sasa huyo mwanaume mwemzio...mambo ya ndroaaa hayanavformula...kama ye anaona hilo si sawa kwa wengine kama wewe ni sawa.
sasa imagine binti unamtoa kwao kwa harusi za gharama kufika nyumbani unaanza kumshangaa.wengine hata ukachinja kuku wa kienyeji umpikie nyumbani hlaf ukamwambia ingia jikoni niandalie wali kuku uone kimbembe chake.
 
Kashaelewa huyo!
 
Ukae huko kwenu au kwako ndio kiwe kigezo nikuoe??
Weekend njoo upike ufue unyooshe nguo zangu, upige deki nk nk.
Hapo ndo utanishawishi

Ushauri wangu wadada mnaotaka kuolewa, jitahidi kumganda huyo jamaa yako mda wote.

Akiomba mpe tu, akikuita nenda mda wowote.
Hivo yaani.
Hahaha mficha uchi hazai
Akitaka n.a. ukimpa we jiandae mawili mimba au naniliu
Mimba utalea maana kwake hawakujui wala kwako hawamjui
Kama una kipato itakusaidia kama huna utasaidiwa na mwingine mwanaume
 
1. Niwe tofauti na wewe kidooogo... Sababu kuu ya wanawake kufanya hivyo ni kutetea mahusiano yao... Hawafanyi hivyo kwa mapenzi yao... Ni sisi wanaume tunapenda kuwakimbiza wanawake waje kwenye nyumba zetu... Na wakija tunawatumikisha vile tutakavyo sisi.,.. Mwanamke akija kwako asipopika, kukufulia, kukufanyia usafi unamsema vibaya siyo wife material... Mara mvivu mara anakiburi... Akifanya hayo unamsema vibaya anajirahisha...

Akigoma kuja kwako unamsema vibaya atakuwa ana michepuko mingi ndiyo maana haoni umuhimu wa kuja kwako...

2. Hiyo inaukweli kwa kiasi fulani... Lakini wanawake wengine wanafanya hivyo kutafuta attention... Wakishaolewa kamwe huwezi mkuta akijiachia maungo yake nje...

Cha muhimu.. Oa yule moyo wako uliyompenda vile alivyo...
 
1. Niwe tofauti na wewe kidooogo... Sababu kuu ya wanawake kufanya hivyo na ni kitetea mahusiano yao... Hawafanyi hivyo kwa mapenzi yao... Ni sisi wanaume tunapenda kuwakimbiza wanawake waje kwenye nyumba zetu... Na wakija tunawatumikisha vile tutakavyo sisi.,.. Mwanamke akija kwako asipopika, kukufulia, kukufnayia usafi unamsema vibaya siyo wife material... Akifanya hayo unamsema vibaya anajirahisha...

Akigoma kuja kwako unamsema vibaya atakuwa ana michepuko mingi ndiyo maana haoni umuhimu wa kuja kwako...

2. Hiyo inaukweli kwa kiasi fulani... Lakini wanawake wengine wanafanya hivyo kutafuta attention... Wakishaolewa kwamwe huwezi mkuta akijiachia maungo yake nje...

Cha muhimu.. Oa yule moyo wako uliyompenda vile alivyo...
Ila ijulikane pia kwamba ashki/hamu ya mapenzi naturally ipo pande zote bila kuweka expectations kama miili ya wawili ikiridhia n.a. ubongo ukashirikoshwa basi n.a. tufanye kwa afya zetu
@kiimanihaikubaliki
 
Dem ni kama bia kila mtu ana yake we ukipenda safar mwenzio atapenda kilimanjaro,me kwa upande wangu dem mmbanaji,mvaa madela na majuba hanifai asee,dem unaomba gem kama umetuma barua ya maombi ya kazi aseee
Kiufupi ndoa haina formula vicheche ndo tunawaoa ila wanaojitunza wanafubaa home
 
Back
Top Bottom