Kwanini tozo nyingi huwa ni refundable lakini mahari tunazotoa kwa tunaowaoa huwa ni non-refundable?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,018
16,801
Nauliza je hivi hakuna haja ya kufanyika marekebisho kidogo katika suala zima la malipo au utoaji wa mahari kwa Wanawake tunaotarajia kuwaoa ili ile ada ya mahari badala ya kuwa non refundable ( hairudishwi ng'o ) sasa iwe refundable ( inarudishwa? ).

Hoja yangu hapa ni ndogo tu kwamba kuna wakati unaweza uka overlook kwa Mwanamke uliyempenda na ukaamua kuishi nae kama Mkeo lakini ukaja kukuta kumbe zile tabia zake njema ulizokuwa ukiziona mwanzoni ilikuwa ni sinema tu ila tabia zake mbaya ambazo unaziona sasa ndiyo jinsi alivyo hivyo ukishagundua kuwa hamuwezani basi uweze kwenda kwao ( kwa Wakwe zako / Wazazi wake ) na uombe urudishiwe Hela yako ya mahari uliyowapa?

Naomba kuwasilisha na naisubiri michango yenu ya Ki great thinker kabisa juu ya hili au hii kero.
 
Mahari ni kama asante tu au sadaka,zaka nyumba za ibada.

Hayo ya tabia ni uzembe wako kutochunguza mapema
 
umenye chungwa ule hadi mbegu zake halafu urudishe maganda kwa muuzaji unataka kua refunded, hahahaha hata mimi sikubali nakubura mahakamani unilipe fidia
 
Nawewe Inabidi Baba mkwe Akugegede kwa mabao sawa uliyompiga mwanae kipindi chote mlicho-ishi, Hapo vipi?
Au unahisi utailipaje huduma ya papuchi uliyopewa?
 
Daa mku kuwa na huruma na wewe utazaa,mtoto wa watu alikuja chuchu saa tano,na bikra yake ikibidi,leo umemkunja mtoto wa watu amechakaa kila mahari ziwa limekuwa saa 12 jioni,bikra hana na yawezekana hata ya huko nyuma nako haipo marinda yote umefumua,bado unamuacha unataka urudishiwe na mahari,mkuu kuwa muungwana.
 
Back
Top Bottom