richaabra
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 1,467
- 3,487
Hili jambo wakaka wengi huwa mnakosea sana kutuonea huruma siku ya kwanza tunapokutana haswaa magetoni mwenu. Hivii mimi mtoto wa kike nimetoka kwetu kabisa nimepanda Daladala nikachukua bodaboda kabisa yote hayo nakufwata wewe tena nyumbani kwako. Hivii huwa hamjishtukii tumefuata nini?
Mtoto wa kike akitoka kwao na akakubali hadi kuja Nyumbani au Geto kwako huyo jua ashajipanga mapema na anajua kuwa anaenda kufanywa nini. Mschana ambaye hahitaji kuliwa na hajajiandaa kuliwa ni lazima atahitaji mkutane sehemu tofauti kabisa na kwako kwa kuhofia mambo mengi
~WANAUME MNAKOSEA HAPA
Unakuta mtoto wa kike kaja hadi kwako teena mmekaa wote kitandani kabisa alafu kakulalia kifuani mtoto anarembua rembua macho tu na wewe hujaelewa tu anataka nini?.
Basi wewe kwa uzuzu wako unaanza kumpigia Hadithi za uongo na ukweli tenaa kitandani, Na ukikuta mtoto wa kike kaja na nyeg.e zake utamskia tu "mhhh sipendi hadithi mimi", Basi na wewe usivyojielewa Utatafuta cd yenye series nzuri utaiweka. Utamsikia tena "mmh zima bwana sipendagi hizo movie"
Heheee halooooo!!!
Basi usivyojielewa utatafuta cd ya bongo movie utaiweka na baada ya kuiweka utashangaa unajibiwa "mhh zima bwanaa sijiskii kuangalia". Na ulivyo mwehu utaenda kuwasha feni ukihisi tatizo ni joto linasumbua, na bado utaambiwa uzime hapendelei fenii
Mambo yote na mitego yote hiyo bado hujajishtukia tu kuwa huyo mschana anataka kufanywa nini?. Mwisho wa siku unamwacha na nyeg.e zake anaondoka wala hakwambii bali atajifanya anatabasamu la uso kumbe moyoni kashakuita mwanaume suruali na mara nyingi huwa haturudi tena.
~wanawake tukiingiaga geto huwa hatuachwi na siku zote ni lazima tujifanye tunakataa kwa kuleta uwongo kuwa tunablidi au kutokuwa na mood ya kufanya mapenzi kwa siku hiyo na wengine hujifanya wanataka hayo mambo hadi ndoa. Kumbe ni mitego tu.
Hayoo yoote ni sisi wanawake kutotaka kuonekana kuwa sisi ni malay.a hivyo lazima tubane mapaja kidogo ili tusiishushe hadhi yetu na tusionekane kuwa sisi ni wa kujirahisisha.
************ ******** **** *** ***