Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Ha ha ha ha ha nakucheka kwa dharau. Hivi wenzako wanapelekwa Girrafe hotel wewe unapelekwa kiwanja cha shule usiku wa manane unapigwa mbu dah wanaume nawaona au kwa vile viwanjani hakuna hata duka?
Unasimamishwa wewe hadi uchoke tena wanawake wengine hapohapo uwanjani watavua nguo dah siku mbili mimba unakimbiwa.
Usipojua thamani yako utaumizwa tu.
Unasimamishwa wewe hadi uchoke tena wanawake wengine hapohapo uwanjani watavua nguo dah siku mbili mimba unakimbiwa.
Usipojua thamani yako utaumizwa tu.