JE NI NINI KILICHOKUWA KINAWALIZA MA BIBI HARUSI

The Bodmas

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
405
403
Wakuu,
Hili swali najiuliza sana hebu nisaidieni ,yani Miaka hiyo ya 1999 MA BIBI HARUSI Walikuwa wakilia sana kwenye harusi waliokuwa wanapata kazi ni MATRON maana walikuwa wanawafuta machozi hadi leso tatu au NNE
Sasa hivi ma bibi harusi wanacheka,wanaimba na kucheza kwaito hadi viduku.......Sasa najiuliza nini kiichokuwa kinawaliza wa zamani?? Na ni nn kinachowafurahisha wa SIKU hizi?
 
Hivi hii thread ya bibi harusi ni 'new arrival' nini???

Mara ya pili hii muda huu kama hii hii naiona humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom