Napata wakati mgumu ninapo kwenda kununia CONDOM dukani alafu namkuta mwanamke ndo anauza duka

Naombeni ushauri jamani jifanyaje ili nisione haya/ aibu ya hii kitu

Au kama nawewe yamekukutA kama yangu changia tupate suluhisho
pole sana mkuu, hata mimi zaman nilikuwa na tatzo hilo, ila sasa nipo sawa, dawa yake ni ndogo tu.

fanya hivi...we kuwa na hela kamili, harafu nenda moja kwa moja had dukan ukifika sema : NAOMBA SALAMA PAKIT MBILI! huku ukimkabidhi hela, akikuuliza salama nini? mjibu SALAMA CONDOM,

then atakupa, af wewe huyo unaenda zako kupiga mzigo bila hofu ya wadudu noumah wale.
 
Nimekupata mkuu
 
Wewe naye hufai hata ukweni mimi nilikuwa nikifika tu siangalii kuna nani kama ni dada ni kumwambia tu Aunty nipatie condom pakiti tatu
 
Nawaza ningekuwa naishi karibu na wewe, ningefungua duka alafu naweka CONDOM reception ili kila mteja azione kwa urahisi alafu ningekuwa namuweka mdada awe anauza....nampa masharti kwamba wewe ukienda kununua salama hela yeyote utakayoitoa asithubutu kukupa chenji aseme hela yako imeisha. Nahisi duka lingekua kwa haraka sana, hizo fursa nazitafuta balaa...watu waoga ndio ponea yangu ya kuishi. Umelipa elfu moja unapewa Condom moja alafu unaambiwa pesa imeisha, nadhani baadae ya miezi sita ungepata ujasiri nami ningeamua kufunga duka narudi OFF LINE!!!!?!
 
Ngoja Nikupe Akili mkuu..
Nenda duka la jumla alafu ujifanye unapiga simu nyumbani kuulizia ni vitu gani vimeisha huko nyumbani(dukani)
Then jifanye sasa unachukua vitu vya dukani Kama Pipi kwa jumla Then hapohapo ongezea na kondom za jumla.
YAANI MUUZAJI ATAJUA UNAENDA KUPELEKA DUKANI KWAKO KUMBEEE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom