Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu waungwana, Mimi ni mvulana kuna kitu kinanisumbua kuhusu upendo hususani katika mapenzi. Sikuwahi kumpenda mtu kwa dhati kutoka moyoni nimewahi kuwa katika uhusiano na wasichana kama...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Vitendo au tabia gani unachukia kwa mwanaume/mwanamke kiasi ambacho hata kama upo kwenye mahusiano unaweza kukatisha mahusiano yenyewe kwasababu ya tabia hizo kwa ME wengi hawapendi wanawake...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Heshima yenu wadau, Ni hivi juzi kati wakati namtupia mawili matatu(Namtongoza) Msichana mmoja hivi, Jibu alilionipa alisema ana mpenzi. Wadau naomba ushauri wenu nifanyaje/nimwambiaje kuSolve...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari za J5 wapendwa Huyu kijana tulifahamiana miaka miwili iliyopita, wiki iliyopita alinikaribisha nyumbani kwao nikamuone baba yake. Nimefika nyumbani baba alituandalia vizuri sana, baba...
18 Reactions
249 Replies
17K Views
HIVI UNAMKUMBUKA YULE MWANAMKE Alikutana na wewe ukiwa kijana kabisa, ukiwa ndiyo unayaanza maisha ndani ya chumba kimoja na kitanda tu. Unamkumbuka yule mwanamke, yeye alikua bado anaishi na...
16 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakubwa... Naomba kuuliza, kama umeoa na una familia, aidha uko na mkeo tuu au una watoto..umetoka na baadae unarudi mlango uko wazi japo sio sana yaani haujafungwa kabisa..wkt mkeo yupo ndani(na...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa mikaa 27, ni Afisa wa Serikali (Maliasili). Elimu yangu ni shahada (BSc. Forestry). Ila Binti awe na Elimu ya Kuanzia cheti (Certificate), stashahada (Diploma) au Shahada...
0 Reactions
5 Replies
971 Views
Habar wakuu..... Utafiti nilio ufanya Mimi katika mapenzi,,nimegundua wanawake wanaoongoza kwa usaliti ni wale wanaotokea familia za kimaskini Mwanamke maskini yeye huwa na idadi kubwa ya...
21 Reactions
170 Replies
23K Views
Je ni kweli kwamba Mzazi wa Kiume akiwa na Mtoto wa Kiume halafu akianza tu ' Kubalehe ' na akiona hapendi Wasichana au hajasikia Kesi yoyote ya Mwanae huyo kufanya Mapenzi na Msichana mdogo...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwanza niombe radhi, nafahamu hii forum siyo ya mambo ya technician ila tatizo langu la simu nahitaj ufumbuz wa haraka ili niweze fanya maamuz coz nimepost kule naona wanachelewa kunijib, simu...
0 Reactions
1 Replies
852 Views
“When I got home that night as my wife served dinner, I held her hand and said, I’ve got something to tell you. She sat down and ate quietly. Again I observed the hurt in her eyes. Suddenly I...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanaume wamekuwa wakijifanya ni mabingwa kama siyo majabali wa kutongoza lakini mara baada tu ya ujio wa simu za mkononi hakika zimekuwa ni kama ni mateso makubwa kwao. Nalisema hili kutokana na...
9 Reactions
343 Replies
60K Views
abari wakuu, Nategemea wote ni wazima,na kama Mungu anakamilisha kazi zake mbalimbali basi poleni sana kwa mnayopitia,mpate wepesi haraka. Turudi katika mada hii hapa ninayojisikia Ku share nanyi...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari zenu wana MMU na poleni na sarakasi za utumbuaji majibu,mda mrefu sijaanzisha mada mtaa huu. Mada yangu ya mwisho kwa mmu iliku ni mwezi march 2015. Hii hapa...
6 Reactions
159 Replies
16K Views
Jf naamini kuwa ni watu wenye ushauri Nilikuja kwenu kuomba ushauri kuwa mapenzi yananiumiza nifanyaje ili nisiumie lkn nikapewa ushauri mzuri na kuanza kuufatilia hatimae now niko vizuri...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wanajamii forum, leo nimekuja na hii thread kuhusiana na hawa wanajihita mabahalia ingawaje sio wote ni baadhi yao. Nasisitiza tena sio wote maana naogopa nisije shambuliwa hapa nikashindwa...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Ni lazima ujue kwamba yake yanayotokea sasa kwenye familia/ukoo wako ni matokeo ya kile kilichofanyika jana na juzi....na yatakayoleta mwendelezo wa kesho na keshokutwa. Jitafakari utengeneze...
39 Reactions
81 Replies
11K Views
Habari wakuu, Kwa Mara ya kwanza najitokeza kuandika Uzi huu special kwaajili ya kumtafuta msaidizi/mke/mchumba. Mimi ni kijana wa miaka 28, naishi Dar. Dini yangu mkristo na nina mcha Mungu...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Isipokuwa tu wale wanawake wenye mapenzi ya dhati, lakini kuna wale ambao wana sura mbili yaani ni waongo waongo hakuna mfano. Ngoja nitaje miongoni kwa mauongo yao yanayotukera sana sisi...
16 Reactions
71 Replies
11K Views
WanaJF naombeni ushauri. Baada ya kutendwa na demu niliyempenda sana nilkata shauri kuwa nile ujana mpk kieleweke. Ktk kula ujana huko palitokea wadada wenye nia ya dhati kabisa ya kuolewa na mm...
4 Reactions
145 Replies
14K Views
Back
Top Bottom