Shukrani kwa jf.

asha mushi

Member
Feb 23, 2017
33
29
Jf naamini kuwa ni watu wenye ushauri

Nilikuja kwenu kuomba ushauri kuwa mapenzi yananiumiza nifanyaje ili nisiumie lkn nikapewa ushauri mzuri na kuanza kuufatilia hatimae now niko vizuri namshukuru mungu.

Nasema ahsanteni mnenisaidia maana nilikuwa kwenye hari ngumu saana kwel ukiacha hisia zikuendeshe utakuwa mtu wa mawazo miaka yote.
 
Ushuhuda tafwazali
Umeniachia donda sugu ambalo haliwezi kupona daima, laiti kama ningepata nafasi ya pili nikushike japo mkono, kisha nikuvute karibu ili uyasikilize mapigo yangu ya moyo nahisi ungenielewa. Am still in love with you
 
bby until you say the truth about what happened, naomba kusema acha moyo wangu usukume damu sasa.

duuuh
 
Back
Top Bottom