Propolis
Member
- Aug 21, 2016
- 34
- 50
Mimi ni kijana wa mikaa 27, ni Afisa wa Serikali (Maliasili). Elimu yangu ni shahada (BSc. Forestry). Ila Binti awe na Elimu ya Kuanzia cheti (Certificate), stashahada (Diploma) au Shahada (Shahada) awe na chini ya miaka 25 lakini awe mjasiliamali au mwenye uwezo kujishughulisha na kujiingizia kipato chake.