Msaada kwa simu yangu wapendwa.

Villky_J

JF-Expert Member
Mar 14, 2017
492
609
Kwanza niombe radhi, nafahamu hii forum siyo ya mambo ya technician ila tatizo langu la simu nahitaj ufumbuz wa haraka ili niweze fanya maamuz coz nimepost kule naona wanachelewa kunijib, simu yangu ni samsung S4 leo asubuh kuna tatizo limejitokeza haioneshi indicator ya LED light wala ile alama ya zigzag kwenye battery inaingiza charge kimya kimya tatizo nn wadau...km ni setting nirekebishe km ni tatizo lakiufundi niipeleke mapema isije ijanifia. Msaada wenu tafadhali.
 
Back
Top Bottom