Eti ni kweli kwamba Mzazi wa Kiume na wa Kike.......

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
60,426
120,781
Je ni kweli kwamba Mzazi wa Kiume akiwa na Mtoto wa Kiume halafu akianza tu ' Kubalehe ' na akiona hapendi Wasichana au hajasikia Kesi yoyote ya Mwanae huyo kufanya Mapenzi na Msichana mdogo mwenzie au hata hasikii mwanae kutuhumiwa kumpa Msichana ujauzito huyu Mzazi wa Kiume huwa anaumia sana kimoyomoyo?

Je ni kweli kwamba Mzazi yoyote wa Kike pindi akishajua tu kuwa Binti yake ameshavunja ' Ungo ' lakini hafuatwi na Wavulana au hamletei Kesi za Kutongozwa au hajawahi hata kupewa Mimba ya bahati mbaya na ' Masela ' huyo Mzazi wa Kike huwa ' anasononeka ' sana rohoni hadi moyoni?

Karibuni ' mtiririke ' na ' mserereke '.

Ijumaa Karim!
 
Sijui kwa hao wazazi wa kidigitali ila mimi baba yangu alikuwa hapendi kuzisikia hizo kesi za kutongoza watoto watu, Mpaka alishawahi kunipeleka polisi maana wakati nipo std six tu tayari home zilienda kesi za wazazi wenye watoto zaidi ya tano. Mzee akaona huu mwanzo mbaya katika balehe yangu. Ila sikuwahi kuwapa mgegedo lakini nilikuwa naimbisha sana tu watoto kumbe wanaenda kusema kwao mmoja huyu alikubali ila wakati anaandika barua ya kunijibu aliisahau kwenye daftari lake so mama yake aliibamba.

Ilikuwa bonge la kesi maana uthibitisho upo na jina langu limeandikwa ila ninashukuru Mungu huyu binti nimekuja kumgegeda huku ukubwani na nimezaa naye mpaka leo amekuwa mchepuko wa kudumu. Nafikiria tu kumuoa awe mke wangu wa pili maana yeye hataki kwenda kwa mtu mwingine.
 
Wakati fulani nikiwa nasoma Sekondari, nilikuwa mtulivu sana. Sina harakati za vijana, mimi na vitabu tu na ibada. Mara nyingine michezo pamoja na kuangalia video.

Siku moja jioni tunapiga story na mama, akaniuliza 'mwanangu, mbona wewe sijawahi kukusikia kuwa na mahusiano na msichana yeyote humu mtaani?'

Nikajua moja kwa moja mama ana maana gani. Nikamjibu tu kuwa nimetulia tu nahangaika na masomo.

Kwa hiyo kunaweza kuwa na kaukweli fulani.

Je ni kweli kwamba Mzazi wa Kiume akiwa na Mtoto wa Kiume halafu akianza tu ' Kubalehe ' na akiona hapendi Wasichana au hajasikia Kesi yoyote ya Mwanae huyo kufanya Mapenzi na Msichana mdogo mwenzie au hata hasikii mwanae kutuhumiwa kumpa Msichana ujauzito huyu Mzazi wa Kiume huwa anaumia sana kimoyomoyo?

Je ni kweli kwamba Mzazi yoyote wa Kike pindi akishajua tu kuwa Binti yake ameshavunja ' Ungo ' lakini hafuatwi na Wavulana au hamletei Kesi za Kutongozwa au hajawahi hata kupewa Mimba ya bahati mbaya na ' Masela ' huyo Mzazi wa Kike huwa ' anasononeka ' sana rohoni hadi moyoni?

Karibuni ' mtiririke ' na ' mserereke '.

Ijumaa Karim!
Kwa watoto wa kiume ni kweli wazazi wao wanapenda sana wathibitishe wana dume la mbegu, kwa wa kike sijui. Mzazi hawezi kukwambia waziwazi ila kuna maneno utayajua ukiwa mkubwa baadaye ila kipindi upo umri ule ni ngumu kumwelewa.

Mfano;
Hujafanya kosa lolote na huna tabia ya kuchukua wanawake wala hajawahi kusikia. Utasikia akikwambia, "halafu ujue wewe sikuelewi"
 
Nilipokuwa dogo nilikuwa sina mazoe na wasichana kabisa na niliwaogopa. Sikupenda hata kuwa nao karibu. Nikafanya mtihani wa seminary baba akakataa nisiende seminary. Nilikuwa napenda sana kuwa padri. Hadi naenda secondary boarding na kumaliza O-Level hali ni hiyohiyo. Baba akawa ananiuliza nimuoneshe rafiki yangu wa kike nikamweleza sina. Nikiwa form five nilicharukia huko. Siku moja likizo nilikuja home na kuna binti wa jirani nae katoka likizo mtundu mtundu tukawa tunasona. Mara akalianzisha tukawatunashikana shikana na kunyonyana tukiwa palepale sebukeni tulipokuwa tunasomea. Kwakuwa home hapakuwa na mtu, tulijisahau kwenda chumbani hata ku lock kwa ndani na bimkubwa hakuwepo. Kumbe kasharudi na kaingia ndani ghafla katukuta binti kanidandia juu tupo kwenye sofa. Nikasikia Ohh!....poleni. Akageuka zake fasta kama hajatuona. Nikawa na hofu sana na nikawa namkwepa kama siku mbili. Keshokutwa yake baba akaniita nikajua ndo msala mama kashamfikishia, kumbe ananipa mkwanja elfu 20. Nikamwambia za kazi gani? Akadai nitumie kwa matumizi yangu binafsi na kwenda matembezi mjini na rafiki yangu Nuri(yule binti). Nikaenda zangu mjini na mtoto (kwa kutoroka nae maza asishtukie) kufanya shopping ya pamba na vijizawadi vyake na tukapitia guest hukohuko kwa mara ya kwanza kuingia guest house. Jumatatu bimkubwa akawa ananidadisi kiujanja ujanja ajue kama nilifanyia nini ile hela baba aliyonipa. Nikamwambia nilinunua pamba. Akaniongeza buku 5 akaniambia yangu ya mfukoni na kwenda matembezi na rafiki yangu.

*Baada ya hapo elimu ya afya ya uzazi na ushauri havikuisha kinywani mwao juu yangu. Nadhani walijua tayari nimeshaingia kwenye game na walihofia kuletewa kesi*
 
sasa ingekuwa dada yako uwiii angekoma
 
Je ni kweli kwamba Mzazi wa Kiume akiwa na Mtoto wa Kiume halafu akianza tu ' Kubalehe ' na akiona hapendi Wasichana au hajasikia Kesi yoyote ya Mwanae huyo kufanya Mapenzi na Msichana mdogo mwenzie au hata hasikii mwanae kutuhumiwa kumpa Msichana ujauzito huyu Mzazi wa Kiume huwa anaumia sana kimoyomoyo?

Je ni kweli kwamba Mzazi yoyote wa Kike pindi akishajua tu kuwa Binti yake ameshavunja ' Ungo ' lakini hafuatwi na Wavulana au hamletei Kesi za Kutongozwa au hajawahi hata kupewa Mimba ya bahati mbaya na ' Masela ' huyo Mzazi wa Kike huwa ' anasononeka ' sana rohoni hadi moyoni?

Karibuni ' mtiririke ' na ' mserereke '.

Ijumaa Karim!

Umekosea hapo kwa mzazi wa kike , kwa kawaida watoto wa kike wao huwa hawana tatizo hata asipotongozwa wazazi wanajua lazima atapata mtu tu piga ua, labda awe na tabia nyingine za ajabu ajabu.

Uko sahihi kabisa kwa mtoto wa kiume, na kwa kawaida mzazi wa kike ndio haswa huwa anakuwa na wasi wasi sana. Wazazi wa kiume wao huwa hawana haraka sana na hilo ingawa ikizidi huwa inawaumiza sana hiyo hali.
 
Nilipokuwa dogo nilikuwa sina mazoe na wasichana kabisa na niliwaogopa. Sikupenda hata kuwa nao karibu. Nikafanya mtihani wa seminary baba akakataa nisiende seminary. Nilikuwa napenda sana kuwa padri. Hadi naenda secondary boarding na kumaliza O-Level hali ni hiyohiyo. Baba akawa ananiuliza nimuoneshe rafiki yangu wa kike nikamweleza sina. Nikiwa form five nilicharukia huko. Siku moja likizo nilikuja home na kuna binti wa jirani nae katoka likizo mtundu mtundu tukawa tunasona. Mara akalianzisha tukawatunashikana shikana na kunyonyana tukiwa palepale sebukeni tulipokuwa tunasomea. Kwakuwa home hapakuwa na mtu, tulijisahau kwenda chumbani hata ku lock kwa ndani na bimkubwa hakuwepo. Kumbe kasharudi na kaingia ndani ghafla katukuta binti kanidandia juu tupo kwenye sofa. Nikasikia Ohh!....poleni. Akageuka zake fasta kama hajatuona. Nikawa na hofu sana na nikawa namkwepa kama siku mbili. Keshokutwa yake baba akaniita nikajua ndo msala mama kashamfikishia, kumbe ananipa mkwanja elfu 20. Nikamwambia za kazi gani? Akadai nitumie kwa matumizi yangu binafsi na kwenda matembezi mjini na rafiki yangu Nuri(yule binti). Nikaenda zangu mjini na mtoto (kwa kutoroka nae maza asishtukie) kufanya shopping ya pamba na vijizawadi vyake na tukapitia guest hukohuko kwa mara ya kwanza kuingia guest house. Jumatatu bimkubwa akawa ananidadisi kiujanja ujanja ajue kama nilifanyia nini ile hela baba aliyonipa. Nikamwambia nilinunua pamba. Akaniongeza buku 5 akaniambia yangu ya mfukoni na kwenda matembezi na rafiki yangu.

*Baada ya hapo elimu ya afya ya uzazi na ushauri havikuisha kinywani mwao juu yangu. Nadhani walijua tayari nimeshaingia kwenye game na walihofia kuletewa kesi*
Acha uongo braza.....
 
Back
Top Bottom