Weekend yangu leo imeniendee poa sana na kwavile JF is my home na upendo wangu mkuu kwa wanawake wote nimeamua kutoa kazawadi kadogo kwa any MMU LADY atakaye kuja pm na kujieleza yuko wapi na...
hello ladies.... gentlemen naomba mpite pembeni mada haiwahusu.
Kumekua na tabia ambayo inashamiri kwa kasi sana siku hizi.
Tabia hiyo si nyingine bali ni wanawake kujipiga picha za uchi au...
Habari zenu wadau, Plz msichoke kusoma ili gazeti.
Nakuja tena kwa mara nyingine kupata ushauri wenu na uzoefu maana umu kila mtu kapitia hali fulani na akaikabili kwa namna yake.
Nilikuja umu...
Habar wakuu.,
Kuna dogo kaniomba ushauri juu ya suala Hilo, ..
Anadai anashindwa kusimamisha uume wake kwa wakati anapokuwa Na mwanamke kitandani.,hasa anapokuwa gizani
Nimgen katika mapenz...
Salaam!
WanaJF, wanawake (mabinti, wadada, wamama, visister du) wanapenda sana magari. Hii tabia imeenea na kuambukizwa sana mijini, tukianza na Dsm , Moshi, Mwanza, Dodoma, Mbeya na Arusha. Hawa...
Habarini wakuu
Mada tajwa yahusika
Kuna tabia imeibuka miaka ya hivi karibuni ya wadada wanye mimba tena zile kubwa kabisa kuvaa vigauni vifupi huku nusu ya mapaja nje na mtumbo huo
Wengi wanavaa...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, nina rafiki wa kike lakini huyu rafiki wa kike huwa tunapenda sana kuongea usiku, lakini kila nikiongea naye siku hizi maongezi hayaishi mara ananiambia...
Salaam
Inaitaji roho ngumu kama paka kuingia kwenye beef na waamini wa taarabu lakini kwa sababu ni kweli acha nisimamie kweli yangu hata kama wakimind poa tu....maana maisha yangu ni yangu na...
Habarini wakuu.
Kuna baadhi ya mabosi wana tabia ya ukali na kufokafoka bila sababu za msingi au kwa kosa dogo tu. Muda wote hawana furaha kwao hakuna kitu kizuri kila kitu kibaya.
Kwa tafiti...
Habari za asubuhi wakuu..
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary ...
Anakupenda bila make up...
BE ON GUARD
What is stealthing and is the sexual trend of removing a condom during sex actually assault?
The horrifying practice of men secretly removing their condom midway through sex is...
Mwanamke mmoja ambaye anaugua saratani ya matiti amejioa mwenyewe baada ya kusubiri mchumba kwa muda mrefu.
May Chen mwenye umri wa miaka 28 kutoka Taiwan ameambia BBC kwamba anaugua ugonjwa huo...
Habarini wadau,
Mimi ni kijana wa miaka 32, ila nina watoto watatu kwa mama wawili tofauti, mtoto wa kwanza nilizaa na mwanamke ambae alihitaji tu mtoto lakini ana maisha yake na wala haitaji...
Timbwili timbwili patashika nguo kuchanika lilitokea Shinyanga mtaa wa Nguzo nane karibia na soko baada ya mama mmoja anaejulikana kwa jina la Mama Sakina kudai talaka kwa mme wake(jina...
Waungwanaa, hapa nimedatajee?
Kuna haka kabinti niliwahi kukutana nako mitaa flan ya Mwenge wakati nimeenda kupata kilaji. Kalikuja na dada ake pamoja na shem wake wakakaa kwenye meza moja na mie...
Habari wapendwa,
Mimi ni mwanamke nilieolewa miaka 17 iliyopita, na tumajaaliwa kupata watoto 3 mkubwa kwa sasa yupo kidato cha nne, lakini kwa muda wote huo nilioishi na mume wangu hakuwahi...
Habari wana jf
Niende moja kwa moja kwenye mada, ni kawaida sana mwanaume kumwambia mwanamke atoe mimba linapokuja suala la mwenzi wake kuwa mjamzito. Tena wengi wao ndio hutafuta na njia za kutoa...
Jamani kuna swala ambalo linaletaga utata hasa kwa watu waliopo kwenye mahusiano walioshibana.
Ni hivi, kwa mfano mtu wako wa karibu kakuambia naomba niazime pesa nitakurudishia, baadae ukaja...
Habari za leo wapendwa,
Katika pita pita yangu nilikutana na wanandoa waliodumu kwa karibu miaka 35. Mume akiwa na miaka 64 sasa hivi. Walioana mume akiwa na miaka 29 na mke alikuwa na umri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.