Mwenza wa maisha

Maserati

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
11,604
20,079
abari wakuu,
Nategemea wote ni wazima,na kama Mungu anakamilisha kazi zake mbalimbali basi poleni sana kwa mnayopitia,mpate wepesi haraka.
Turudi katika mada hii hapa ninayojisikia Ku share nanyi muda huu Hapa,napendaga mada za mapenzi tho.

Mwenza wa maisha...
Tukiongelea kuhusu mwenza wa maisha sana sana huwa tuna zungumzia mke/mume na pengine mpenzi ambae atakuwa mchumba na mwisho wa siku mtakuwa mke na mume.

Watu wengi wanaumizwa na maisha wanayoishi na wenza wao,hasa baada ya ndoa. Wengine utasikia mke/mume wangu si mtu mzuri tena kwangu kama zamani. Au wengine wanasema sina kamani kabisa ndoa yangu siku hizi za sasa,natamani nisingeoa au kuolewa.
Mke wangu mchafu,mume/mke wangu Malaya,si mchangamfu tena,hanijali tena na mengine mengi.

Najaribu kuangalia factors mbalimbali (hatusomi geography ) za Haya yote,nagundua mambo kadhaa.
1.kutokuwa tayari.
haraka ya ndoa,mfano penzi jipya vile linakuwa moto moto husikii la muadhini wala mgonga kengele kanisani hili nimemsikia maserati. Lakini ukweli ni kuwa hauna uhakika kama tutakuwa na mtu sahihi maishani mwako.
2.kutomchunguza huyo anaeelekea kuwa mwenzi wako wa maisha.
Mnakuwa vipofu wa mapenzi kiasi kwamba hamuwi tayri kumjua mwenza wako kiundani zaidi,either kujua anafanya nini,anakuwa na mood gani au ana tabia gani zaidi ya hizi anazokuonyesha.
3. Mtu wenyewe
either wewe au yeye Hapa sana sana huwa ni sababu binafsi au jinsi unavyomchukulia mwenza wako,na kutojitambua kama umekuwa source ya mabadiliko yake,unaweza kuwa na tabia zinazo mfanya abehave differ than you use to know him or her.
4. Mazingira
alivyokuwa na kulelewa na kuishi na wewe inaweza kuwa ni vitu viwili tofauti.
5.kuwa tayari
kukubali Kama unamuoa au unaolewa na yeye,je ni sahihi kwako.? Hapa wengi wanakuwa na shauku ya kuo au kuolewa,pengine kutokana na sababu umri,dini au pengine sababu za kimila. wengi wanaoa/kuolewa lakini wanajikuta katika hali mbaya sana mpaka wanajuta maamuzo yao wenyewe,lakini hii ni kwa sababu ulikuwa tayari kuoa au kuolewa na haukuwa na uhakika na jambo au pengine ulikuwa na uhakika na jambo unalolifanya lakini,je umemridhia? Unamfahamu vya kutosha?? Na upo tayari kweli kuwa nae maishani mwaka milele?
6. Tofauti ya mila
najua tuna tamaduni au desturi zinazofanana (nikizungumzia Tanzania) lakini kuna baadhi ya vitu vya kimila basi vinakuwa kama vina kandamiza upande mmoja ambapo kwa upande wa pili inakuwa vice versa.
7. Imani za kidini
Hapa nazungumzia kwa wale wenye imani za kidini mfano (muislam na mkristo,au mkristo wa kawaida na mlokole)
8. Wakwe,ma WiFi na ma shemeji
Hawa watu kwa nafasi zao wanakuwaga shubiri katika ndoa za watu,sana sana Hapa huwa kwa wanawake,napata shida sana na familia za mume. Lakini ikitokea mke ndie mwenye kipato na mume humtegemea mke basi Hapo ndugu wa mke hugeuka mbogo kwa mume wa ndugu yao.
9. Sababu nyingine Mimi Naona ni ya kisaikolojia.
Wengine wanaamua kuoa wakiwa katika situation ya maumivu kwa wapenzi au wachumba wao walioachana Nao. Wengine baada ya kumfumania mpenzi tit for tat,wengine baada ya kupata tetesi na maneno ya watu na wengine baada ya kuachana kwa sababu mbalimbali. Mtu anaamua kuoa pengine anaona Ndio the best choice iliyobaki Ili kumkomoa EX wake,lakini ukweli ni kuwa ndoa kama hizi huwa zina matatizo mengi sana baadae.
10. Kutojiamini na wivu uliopitiliza
Watu wengi wanafikia kipindi cha kutojiamini,ukiona mke/mume kasimama na mtu Fulani basi unaanza kuwa na mashaka ya hovyo hovyo (japokuwa wasiwasi Ndio akili) Yaani unamfikiria mwenza wako vibaya muda wote. Akiongea na simu kwa muda mrefu unaanza,nani huyo?mbona hukua muda mrefu kuongea nae? Umeanza? Sijui nini na nini. Mimi huku naona ni kama kutojiamini na i wivu uliopitiliza tu.

kwa sababu hizo na zingine unazozifahamu wewe mkuu wangu wa Jf,tujaribu Ku share lolote unaloona zuri na linafaa kwa bandiko hili na litawasaidia watu mbalimbali,ikiwezekana tupate solutions Ili kwa wale ambao bado hawaja olewa au kuoa wapate wenza wao watakao wafaa maishani mwao (I know no body is perfect lakini haimaanishi there is no strong relations in marriage). Next time nitakuja na solutions zake ambazo nazifahamu na zingine nitakazo zipata kutoka Hapa Hapa kwa wachangiaji wenzangu.

NB; nilichokiandika Hapa kinaweza kuwa Sawa na mawazo yako na pengine kinaweza kuwa tofauti na mawazo yako. Neno langu si sheria.
Karibuni tujadili.

Nawatakia siku njema.
 
abari wakuu,
Nategemea wote ni wazimu,na kama Mungu anakamilisha kazi zake mbalimbali basi poleni sana kwa mnayopitia,mpate wepesi haraka.

Nimeshtuka kidogo, ulipoanza kwa kusema unategemea wote ni WAZIMU
Siyo kesi, ujumbe ni mzuri, ila asubuhi yote hii unajihusisha na habari za mapenzi, itakuwa uko single au una matatizo ya kimahusiano
 
Haimaanishi kila anae andika kitu basi Ana matatzo he or she walks thru it,hapana. Ni mawazo Kama ambavyo wewe umewaza Niko single mean while I'm not.
 
No 2 ndo inacost sana watu
Na hayo yote unakuja kujua
Badae ukiwa umeshaoza
Kwake na ukotayar kwa
Lolote cz ulishampenda

Ukifkiria kurud nyuma
Kuanza upya next relationship
Mda nao unakua umeshakutupa solution inakua n uvumilie tu

Kama kaul mbiu ya ndoa inavosema (ndoa n uvumilivu)
 
Ni kweli kabisa. Wanasema mapenzi upofu. Mwisho wa siku ndoa haina amani
 
abari wakuu,
Nategemea wote ni wazima,na kama Mungu anakamilisha kazi zake mbalimbali basi poleni sana kwa mnayopitia,mpate wepesi haraka.
Turudi katika mada hii hapa ninayojisikia Ku share nanyi muda huu Hapa,napendaga mada za mapenzi tho.

Mwenza wa maisha...
Tukiongelea kuhusu mwenza wa maisha sana sana huwa tuna zungumzia mke/mume na pengine mpenzi ambae atakuwa mchumba na mwisho wa siku mtakuwa mke na mume.

Watu wengi wanaumizwa na maisha wanayoishi na wenza wao,hasa baada ya ndoa. Wengine utasikia mke/mume wangu si mtu mzuri tena kwangu kama zamani. Au wengine wanasema sina kamani kabisa ndoa yangu siku hizi za sasa,natamani nisingeoa au kuolewa.
Mke wangu mchafu,mume/mke wangu Malaya,si mchangamfu tena,hanijali tena na mengine mengi.

Najaribu kuangalia factors mbalimbali (hatusomi geography ) za Haya yote,nagundua mambo kadhaa.
1.kutokuwa tayari.
haraka ya ndoa,mfano penzi jipya vile linakuwa moto moto husikii la muadhini wala mgonga kengele kanisani hili nimemsikia maserati. Lakini ukweli ni kuwa hauna uhakika kama tutakuwa na mtu sahihi maishani mwako.
2.kutomchunguza huyo anaeelekea kuwa mwenzi wako wa maisha.
Mnakuwa vipofu wa mapenzi kiasi kwamba hamuwi tayri kumjua mwenza wako kiundani zaidi,either kujua anafanya nini,anakuwa na mood gani au ana tabia gani zaidi ya hizi anazokuonyesha.
3. Mtu wenyewe
either wewe au yeye Hapa sana sana huwa ni sababu binafsi au jinsi unavyomchukulia mwenza wako,na kutojitambua kama umekuwa source ya mabadiliko yake,unaweza kuwa na tabia zinazo mfanya abehave differ than you use to know him or her.
4. Mazingira
alivyokuwa na kulelewa na kuishi na wewe inaweza kuwa ni vitu viwili tofauti.
5.kuwa tayari
kukubali Kama unamuoa au unaolewa na yeye,je ni sahihi kwako.? Hapa wengi wanakuwa na shauku ya kuo au kuolewa,pengine kutokana na sababu umri,dini au pengine sababu za kimila. wengi wanaoa/kuolewa lakini wanajikuta katika hali mbaya sana mpaka wanajuta maamuzo yao wenyewe,lakini hii ni kwa sababu ulikuwa tayari kuoa au kuolewa na haukuwa na uhakika na jambo au pengine ulikuwa na uhakika na jambo unalolifanya lakini,je umemridhia? Unamfahamu vya kutosha?? Na upo tayari kweli kuwa nae maishani mwaka milele?
6. Tofauti ya mila
najua tuna tamaduni au desturi zinazofanana (nikizungumzia Tanzania) lakini kuna baadhi ya vitu vya kimila basi vinakuwa kama vina kandamiza upande mmoja ambapo kwa upande wa pili inakuwa vice versa.
7. Imani za kidini
Hapa nazungumzia kwa wale wenye imani za kidini mfano (muislam na mkristo,au mkristo wa kawaida na mlokole)
8. Wakwe,ma WiFi na ma shemeji
Hawa watu kwa nafasi zao wanakuwaga shubiri katika ndoa za watu,sana sana Hapa huwa kwa wanawake,napata shida sana na familia za mume. Lakini ikitokea mke ndie mwenye kipato na mume humtegemea mke basi Hapo ndugu wa mke hugeuka mbogo kwa mume wa ndugu yao.
9. Sababu nyingine Mimi Naona ni ya kisaikolojia.
Wengine wanaamua kuoa wakiwa katika situation ya maumivu kwa wapenzi au wachumba wao walioachana Nao. Wengine baada ya kumfumania mpenzi tit for tat,wengine baada ya kupata tetesi na maneno ya watu na wengine baada ya kuachana kwa sababu mbalimbali. Mtu anaamua kuoa pengine anaona Ndio the best choice iliyobaki Ili kumkomoa EX wake,lakini ukweli ni kuwa ndoa kama hizi huwa zina matatizo mengi sana baadae.
10. Kutojiamini na wivu uliopitiliza
Watu wengi wanafikia kipindi cha kutojiamini,ukiona mke/mume kasimama na mtu Fulani basi unaanza kuwa na mashaka ya hovyo hovyo (japokuwa wasiwasi Ndio akili) Yaani unamfikiria mwenza wako vibaya muda wote. Akiongea na simu kwa muda mrefu unaanza,nani huyo?mbona hukua muda mrefu kuongea nae? Umeanza? Sijui nini na nini. Mimi huku naona ni kama kutojiamini na i wivu uliopitiliza tu.

kwa sababu hizo na zingine unazozifahamu wewe mkuu wangu wa Jf,tujaribu Ku share lolote unaloona zuri na linafaa kwa bandiko hili na litawasaidia watu mbalimbali,ikiwezekana tupate solutions Ili kwa wale ambao bado hawaja olewa au kuoa wapate wenza wao watakao wafaa maishani mwao (I know no body is perfect lakini haimaanishi there is no strong relations in marriage). Next time nitakuja na solutions zake ambazo nazifahamu na zingine nitakazo zipata kutoka Hapa Hapa kwa wachangiaji wenzangu.

NB; nilichokiandika Hapa kinaweza kuwa Sawa na mawazo yako na pengine kinaweza kuwa tofauti na mawazo yako. Neno langu si sheria.
Karibuni tujadili.

Nawatakia siku njema.
Pumba kabisa
 
Back
Top Bottom