Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau nina msichana nampenda sana na yeye ananipenda zaidi. Ishu ni kwamba mapenzi yamekolea kiasi kwamba yamevuka matarajio yangu, mimi nilikuwa namchukulia kama msichana wa kula nae maisha tu...
2 Reactions
86 Replies
8K Views
  • Closed
Hello everyone Just thought i should try, i might get lucky. I am 27 yrs old n 2 weeks pregnant, unfortunately i have to choose between being a single mother and abortion (God forbid). But...
30 Reactions
124 Replies
14K Views
Assalam alaikum. Naitwa AbdulMalik na nina kisa changu napenda niwajulishe. Nimeoa wake wawili. Nilimuoa mke wangu wa kwanza Nadiya nikiwa na umri wa miaka 31 na yeye akiwa na miaka 21. Yalikuwa...
10 Reactions
10 Replies
4K Views
Amani iwe juu yenu Waungwana, Miezi kadhaa iliyopita tume hudhuria ndoa iliyofungwa kati ya Kaka na Dada Mabinamu (Mtoto wa Mjomba na Shangazi), Harusi ilifana na pande zote mbili zilishiriki...
2 Reactions
102 Replies
9K Views
Kwa wale waliooa au kuolewa wanalielewa hili. Kuna wakati mtu anaweza kumchukia tu mke wake au mume wake bila sababu ya msingi. Na hii iko dhahiri pale mtu akikosewa tu kidogo anakasirika sana...
4 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari za leo ndugu zangu, Nimekua na mahusiano na mpenzi wangu mpya niliempata hivi karibuni lakini cha kushangaza hana siri yupo kiswahili sana kila kitu yeye ni kutangaza juzi kanunua kiwanja...
2 Reactions
82 Replies
6K Views
Ukiona mwanamke anapenda wanaume wenye pesa hata kama ni mpenzi wako mchunguze tu huo ndio udhaifu wake mkubwa hana lolote kitandani, ila anakuwa mwepesi kwenye kupiga mizinga balaa na ukimwambia...
8 Reactions
80 Replies
7K Views
Kwetu Afrika, Tanzania ikiwemo, jambo la kusingiziwa motto/watoto husemwa sana. Hapa, mwanamke humtaja na kumwambia mwanaume fulani kuwa ana ujauzito wake, jambo ambalo si la kweli. Mwanaume huyo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi karibuni nilileta uzi uliosema; Naomba ushauri mapenzi yananitesa Wakuu nashukuru kwa ushauri wenu nimeufuata na sasa niko single. ANGALIZO; No pm sina mpango kwa saivi, na enjoy this life...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Yaani unanifyonza, unajua natoa wapi pesa? Pumbafu zako, nasubiri povu!
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Nilivyopata likizo mwezi April nikaamua nirudi nyumbani kwa wazazi kuila likizo yangu huku nikiwa namuuguza dingi maana ni zaidi ya miaka 4 nipo mkoani kikazi. Mitaa ya home kumebadilika sana...
5 Reactions
101 Replies
12K Views
MWANAMKE JIFUNZE HAYA. 1. Ukiwa Kama mwanamke, pale panapotokea maudhi dhidi ya mpenzi wako, nyamaza kimya, ukimya wa mwanamke humsumbua akili mwanaume. Atahisi kuna jambo fulani kichwani mwako...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Inaonesha ni mgeni kaja kutembea kwa dada'ke, hapo alipo mi hua napita tu kama njia ni mtoto mzuri mwenye lordeyes, mweusi, mkarimu, mwenye aibu nyingi sio siri nimemzimikia kwa kweli, tatizo...
2 Reactions
115 Replies
9K Views
Nina mpenzi wangu ambaye tumekuwa ote toka nikiwa shule ya msingi mpaka saivi nimefika Chuo Kikuu nasoma hapa Chuo Kikuu cha mtakatifu Augustine (SAUT) Tawi la Mwanza mwaka wa Pili. Nimekuwa nae...
2 Reactions
101 Replies
9K Views
Ukiwa unapendwa, basi heshimu hisia na Umuhimu wa anayekupenda, kumbuka Umuhimu wa mtu huja baada ya kuondoka. Mpende mpenzi wako kwa Hali yoyote aliyonayo, Ile kauli ya kusema wanaume wote...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani ndugu zangu, niko kwenye hali mbaya sana naandika hii mada nalia kwa kitendo alichonifanyia mke wangu, mke wangu mimi ni mwanajeshi tena ana cheo kikubwa tu. Leo mida ya saa1 nilikuwa...
9 Reactions
118 Replies
15K Views
Habari za J2 wapendwa, Iweje mtu mliaeachana akaenda na miaka ikapita Leo anakutafuta eti ninakujulia hali wakati na wewe uko kwenye penzi tamu huko uliko. Anataka mpenzi wako mpya ahisi una...
24 Reactions
125 Replies
15K Views
Nimekutana na mama mkwe kwenye kijiwe cha kula pweza pale ferry jana hiyo jamani nikataka kukimbia lakini nikajibaraguza na kuanza kujichekesha chekesha. Sasa sijui ataenda kunisimulia kwa watu ama vp
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Habarini Wadau, Hilo nililoliandika nimelifanyia utafiti wa kina. Tofauti na mabinti/wanawake waliosoma courses zingine...waliosoma Law wengi hawajaolewa ila wanamegwa tu kisela na wengi wao...
44 Reactions
329 Replies
38K Views
Back
Top Bottom