Habari zenu,kiukweli nimekuwa addicted na wanawake weusi sio weusi ila weusi kama mkaa.
Nikiona msichana wa hivyo uwa napagawa.
elimu yangu nina diploma ya clinical medicine .
-umri nina miaka 25...
Habari zenu wadau wa MMU,
Jana nilileta mada ya
Nitamtokeaje huyu Msichana?
kutaka ushauri jinsi ya kumtokea mtoto mmoja hivi aliekuwa anauumiza mtima wangu baada ya kusoma ushauri wa...
Natanguliza shukrani kwa Mungu aliempa maarifa mwanzilishi wa hiki kitu kwani bila wao nisingekua hapa.
Japokua sikuweka tangazo la kumtafuta mwenza lakini kwa neema,rehema na mipango ya Mwenyezi...
Katika hali nisiyo itegemea kutokea, mimi na mume wangu tunaheshimiana sana, kumbe kuna mmama anamuomba ampe mimba tu awe na mtoto wake basi ataridhika.
Mume wangu hakuniambia ila mama kaamua...
Habari za Ijumaa wapendwa,
Hivi unapokuwa maeneo ya faragha na mume au mke wa mtu, na ghafla tu anaanza kumsifia mke/mume wake unajisikiaje? Hatua gani utakayo chukua?
Hata sikupanga iwe hivi ila imebidi tu nichukue kadi ya uanachama katika kambi ya akina Marios. Hivi vidada vya siku hizi pasua kichwa kweli, sasa sitaki kufa na presha wakati umri wangu...
Habari za mchana wana MMU,natumai wote ni wazima kwa kudra za mwenyezi Mungu na wale ambao si wazima Mungu awaponye.
Moja kwa moja kwenye mada husika,ni story imemtokea rafiki yangu nimeona si...
Hii jamii ya Waethiopia huwa lazima kila msichana acharazwe viboko hadi damu itiririke kama njia moja ya kufundwa. Halafu la kushangaza ni kwamba wasichana wenyewe wanaomba wacharazwe zaidi na...
Sio kwa wote, lakini vizee vyetu vya kichaga vimecharuka sana na kujaza wake wa watoto wao mimba kama kuwakomoa vijana wanaoa mjini na kuwarudisha wake zao kwa baba zao yaani wa zee wa kichaga...
Waungwana, nimeirudia hii kisa nilichanganya mada!!
Kiukweli kabsaa nilimuacha Binti niliyempenda saana kwa sababu ya ushamba wangu wa Facebook,,Alipiga picha akiwa chumbani na kwa kwa juu ktk...
Habarini wana JF,
JamiiForums imekuwa ikisaidia watu mbalimbali kwa njia mbalimbali.
Mimi nashindwa kuanzisha mada nyingi sana humu kwenye jukwaa sanasana zinazohusu maisha yangu kwasababu...
Habarini za hapa. Natangaza maombi ya kufunga kwa siku tatu kuwaombea wanaume wote na wanawake wote wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile(alimaarufu Tigo)
Naombeni tusaidiane kwa hilo mfungo...
I'm a 28year old lady who runs a start-up. I'm looking to meet a Tanzanian gentleman aged 30-40 who is looking for a serious relationship. I love reading and traveling, and enjoy any outdoor...
Aslaaam aleikum
Serious natafta mke muislaam ...umri Wangu ni miaka 36....awe na umri wowote Ila lazma aidha ajue dini au awe tayari kusoma dini
Awe na hofu na mwenyez mungu...awe tayari na...
Nimevumilia ninashindwa, sasa Leo alfajiri wakati najiandaa kwenda job daah! Nikakuta kaweka kopo la chooni ndani ya ndoo ya kuhifadhia maji ya kunywa, ukimuulza hayo majibu yake khaa! Jana kalala...
Rejea uzi wangu, niliyotupia siku chache zilizopita, nikihitaji "mwanamke wa kuzaa nae tu" wanawake wengi walinishambulia sana, bila kujua kuwa hata mimi nina sababu zangu za msingi kabisa. Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.