b wence
Senior Member
- Dec 30, 2016
- 154
- 108
Wakubwa...
Naomba kuuliza, kama umeoa na una familia, aidha uko na mkeo tuu au una watoto..umetoka na baadae unarudi mlango uko wazi japo sio sana yaani haujafungwa kabisa..wkt mkeo yupo ndani(na pengne chumba ni kimoja(ukiingia umeingia).
Je unatakiwa upige hodi au kwa sababu ni kwako unaingia tuu..na vipi kuhusu uoga wa kujiepusha na labda mabaya utakayoyakuta labda pengne ungepiga hodi usingeyajua au kuyaona(japo ili nimeliweka tuu), wewe unaonaje..upige hodi au huwa unaingia tuu..??
Nawasilisha..