Hivi nyie mabahalia mna nini lakini....

Villky_J

JF-Expert Member
Mar 14, 2017
492
607
3fabfcaddedf995a374e86497da26eeb.jpg

Habari wanajamii forum, leo nimekuja na hii thread kuhusiana na hawa wanajihita mabahalia ingawaje sio wote ni baadhi yao. Nasisitiza tena sio wote maana naogopa nisije shambuliwa hapa nikashindwa pa kuelekea. Mm ni mkazi wa mkoa wa Dar es salaam, nimekuwa nikishangazwa sana na kundi moja la watu ambao wanajihusisha/waliwah jihusisha na shughuli za kusafiri kwenye meli maarufu kama mabaharia. Jamani katika watu wanaongoza kwa maneno mengi na ujanja uliopitiliza ni hawa watu, kama umewahi kaa nao na kupiga nao stori mbili tatu tena hususani wazee ambao umri wao umesogea kidogo naamini utaungana na mimi. Hawa watu wanastori utasema wao ndo wameitengeneza Dar es salaam, kwanza hakuna sehemu ktk jiji hl wasipopaju tena na historia yake.. kabla na baada ya nchi kupata uhuru. Kwanza ni waongo balaa utasikia hata pale magogoni ilipojengwa ikulu kilikuwa ni kiwanja cha babu yake, wali muuziaga mwl nyerere wakat huo. Atakwambia pale kariakoo usipaone vile palikuwa ni shamba la minazi na miembe lilikuwa la bibi mmoja hv alikuwa mchawi kinoms hakuna embe unaweza okota ukala bila kumuomba.... Wenyewe wanajiita wazee wa MZIZIMA..Yani kama hujawajulia unaweza ukawanunulia kawaha ht za 50,000/= ili tu waendelee kukupa michapo. Sasa huwaga najiulizaga hivi vipaji vya kuongea kiasi kile wamevitoa wap, huenda ikawa ni kwa sababu ya kusubir meli ikiwa inapakia mizigo..najaribug tu kuwaza. Usirogwe ukawauliza kuhusu swala la N'GAMBO yani nchi ambazo waliwah kwenda... hapo ndo utachoka na roho yako, watakwambia hakuna nchi kubwa duniani hawajawah fika..sio Uarabuni, Japan, Ugiriki, Marekani..na nyingine nyingi, wengi utawasikia "Tumeshatembea na wanawake wa kila rangi na kujitamba anapozungumzia waarabu sio wale wa kariakoo wanaouza vitenge..utasikia wale ni toleo la mwisho mwanamke wa kiarabu hana tofaut na malaika..utafikir hao malaika walishawah kuwaona. Utasikia hawa mashombe shombe hapa mjini hawakuja kwa miujiza ni kazi yetu sisi baba zenu.. nyie ndio mnajitapa kuwa natembea na mtoto wa kuarabu...utasikia uliwah kuona wap mwarabu akaishi Ilala anauza tv na friji used.. wale ni toleo la pili sisi ndio tuliwatorosha baada ya kuwazalisha watoto wakiarabu huko muscut, maana kule kwao wakisikia mwarabu kazaa na mbongo ni ishu.
Kinachonishangaza, njoo kwenye maisha yao halisi. Wengi hawana kitu, hela zao zote walitumia kwenye starehe wakat huo. Hakuna club wasioijua ktk jiji hl...tena tangia inajengwa, kwa vizinga sasa.. wakikugundua wewe ni mjumbe ndio..ukiombwa hela ya kahawa na sigara unafunguka fasta..basi lazima utakuwa rafik yao. Wao huvaa misuli na kushinda vijiwen, wana maneno hao utasema wamechanjiwa, yan kama kuna mtu humu ana babu yake aliwah fanya shughuli hii, namuonea mpk donge maana ukichoshwa na stress zako za maisha..ukamnunulia tu kahawa, atakujaza mpk utajihisi matatizo yake kayabeba yy kumbe yk pl pl..anakuchanganyia maneno tu..utasema kalishwa usembe ...... Ila pamoja na mauzauza yote hayo nao wana mazuri yao bhana.....Weeee upande wa uzazi wako vizur sana sio km ss huku kila kukicha tunalia na nguvu za kiume... Wanafyatua watoto kama hawana akili nzur..sijui ni kwasababu ya kula seafood ( Vyakula vya baharini ) Yn ukisikia mkeo anatembea na baharia.. andika umeumia ht km ni mzee hawaongi pesa zaid ya maneno. upande wa bed..wako vizur asikwambie mtu.
Hv nyie mabaharia mna nn lakini?
 
Huyo Ni Kuli, mbeba mizigo wa bandalini ndio wanamaneno mengi saana.

Mabaharia wenyewe sio njaa kiasi hicho , Ila kwa uhuni tuu.....
 
Upande wa bed umeujuaje mkuu?
 
Back
Top Bottom