Kasie Doesn't Mind...

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
22,041
39,992
Holaaa...!!!

Its Fridayyyy... kwa wale ambao mifupa yao bado haijapinda na hawapati ukakasi kuinama na kuinuka basi mida ndo hiyooo inajongea ya kujivua gamba na kuzaliwa upya... hii inaitwa asiye na mwana aeleke jiwe..

Leo nina ashiki za kucheza mziki hadi majogoo na miondoko itakuwa ya Sean Paul, it'll be swinging up and down vs sideways and pour the esophagus with water....

If you feel like the way Kasie feel right now, just join me at the club...... am happy...;)









without forgetting my boo Shaggy...:)



Happy Friday Happy people....

Kasie.;) (..wasn't me...)
 
umezeeka lakini unakula uzee...Amazing

Sikumbuki ni wapi imeandikwa ila kuna huu usemi.....'' ujana wako utarejezwa kama tai..'' so do Kasie's rejuvenation...

pia nilishasikia watu wakisema hivi.... uzee ni uchakavu.... you can be old but young and and you can youth but looks oldy...

Kasie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom