Nimeshindwa kuachana na X-wangu nisaidieni

ytara jr.

Member
Feb 6, 2014
61
22
Kuna mdada alikuwa g-friend wangu tangu form 2-4, hii ilikua 2008-2011.
Baada ya hapo kila mmoja alipita njia yake baada ya elimu ya sekondari. Binafsi mi niliendelea na skuli hadi chuo na nimeajiriwa. Bahati nzuri au mbaya nimeajiriwa mkoani kwao. So mara kwa mara tunaonana. Yeye ameolewa na mimi pia nina mke.

Kwakweli tulivyoonana siku moja mjini alishindwa kuvumilia, alilia sana na akanikumbatia kama dk 2 hivi. Nilimweleza kuwa nimeoa na nina mtoto, yeye binafsi aliniambia Jamaa aliyemuoa walizinguana wakaachana na ana mtoto m1 anamlea peke yake. Na kwamba anafanya biashara ya duka anayoimiliki mwenyewe.

Alinikaribisha kwake, nilienda na aliniomba nimpige taff. Nilimuongezea hela kidogo katika biashara yake, kiukweli alifurahi sana.

Siku moja aliniomba nimtembelee kwake, nilikubali, tulionana tukaongea mambo mengi na kukumbushana mambo ya nyuma tulivokuwa skuli. Kuna kitu aliniambia, kwamba 'unajua wewe ndo ulisababisha nikafeli' eti kuwa na mahusiano naye ilipelekea yeye kufeli. Nikamuuliza kwanini. Akanambia sisi wanawake tukipenda tunachanganyikiwa, sio kama nyie. So 'wewe ndo ulinifelisha.'

Nikaona isiwe shida, nikakubali kubeba lawama. Jambo la pili aliniomba tuendelee na urafiki/yaani tuwe wapenzi tena. Nilimwambia ni muda sasa tangu tuachane, so ni vizuri tupime. Alikubali tukapima na tukaanza tena mahusiano.

Kiukweli huyu mdada anajua mapenzi mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Cha ajabu nikiwa nae naweza kusex naye hata game 4 kwa siku, tofauti ninavokua na mke wangu. Na kadiri siku zinavyoenda ndo nazidi kumpenda. Kibaya zaidi anaomba nimpe mimba angalau moja tu. Mi naogopa, kwani naona ataniletea matatizo.

Nishauri.
 
Duh tuko tofauti, yan mm nirudiane na x ntakuwa mind Set yangu haiko vzr aisee, I real appreciated my self and the choice that I made sure is more beautiful than previous
 
Huyu siyo x bana ni tick kabisa inaonekana we unatuambia ni x, endelea tu,wewe ni muafrika umezaliwa katika roho ya mitala jiongeze.
 
IMG-20170520-WA0025.jpg
 
Back
Top Bottom