kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 735
Hili suala halizungumzwi lakini lipo sana kwa hawa wadada wa kazi kuliwa utamu wao na vijana wakiume kwenye hayo majumba wanayofanyia kazi. Kuna mda hadi ma baba wenye nyumba (boss) nao wamekuwa wakiwapitia hawa madada wa kazi japo huwa ni hatari sana kwa dada wa kazi wake zao wakijua.
Sasa najiuliza kwa kuwa ukiachana na wenye nyumba ambao mda mwingine huwapa ahadi nzuri za kuwaongezea mshara au huwatishia kuwafukuza kazi wakikataa, kuna hivi vijamaa ndivyo mara nyingi huwa vikiwapitia sana hawa wadada na kuna mda mwingine au tuseme mara nyingi vijana hawa wamekuwa hata wakijifunzia mapenzi /kugegeda kwa hawa madada wa kazi kitu ambacho huwa napata shida kuelewa sababu hasa ya hawa madada kuwa rahis hivo kwa kutoa utamu wao kiholela kwani unakuta hadi vijana wa majirani nao wanipata fursa ya kuwaptia tu ki urahis.
Sijajua hii hutokea kwa sababu. :-
(a) familia walizo toka ni duni
(b) wepes kushawishika
(c) hawajui thamani za miili yao
(d) hisia/ashk huwa zinawazidi
(e) hawajielewi
(f) hupewa vitisho ili wafanye
Huwa nawaonea huruma sana wanavyo tumikishwa kwa kazi nyingi lakini pia kwa kazi hii ya kutoa unyumba ambayo huwa ni bure bila malipo na inayokosa utu.
TAHADHARI: Kama ww ni baba au mama au mlezi wa kijana au ni mama mwenye mume kabla hujamleta mdada wa kazi nyumbani kwako hakikisha umempima na yuko vizuri ki afya ndipo aanze kazi hapo nyumbani kwako kwani huwezi jua nini kitatokea mbele ya safari kwan kumekuwa na kawaida ya kuwapuuza hawa wadada wakiwa bado washamba wasiojua kuvaa pindi wanapoletwa kwa mara ya kwanza kutoka vijijin lakini baada ya mda wakinawili na kupendeza mate huanza kuwa toka vijana wa ndani, majirani na hata baba mwenye nyumba.
=================