Curvyminx
Senior Member
- Nov 29, 2016
- 194
- 262
Habari Wana JF!
New Monday, New Money au vipi? ha! if only but we dream ey!
Basi mimi nina ishu na vijana na leo. Siwaelewi kabisa aisee. Hivi? Ni nini kinawafanya muoe au muolewe? Haya maamuzi yamejengwa au yamekuja vipi? Na pili...hii ngumu kidogo...iviiii....zile kitchen party yale maneno yanayosemwa pale kina dada huwa mnasikiliza kweli? na huko nyumbani somo anahusika kweli? Maana sielewi hizi mentality zenu za kuingia kwenye ndoa mguu mmoja nje mguu mmoja ndani. Swala la heshima ndio hata usiseme! Kuna somo mmoja anasema mwanamke ana lugha 21, lazima kuwe na utofauti unavyoongea na mume wako, baba yako, mama yako, shoga, mama mkwe, baba mkwe, dada wa ndani, mlinzi, mdogo wako, lakini unakuta binti anamjibu mama mkwe utafikiri anaongea na mlinzi!!! He!
Hili taifa la leo kina dada mnahangaika ndoa ndoa ndoa, heshima tu kwa mkwe kazi, jamani jamani, makes me ask myself as to why you got married in the first place. Ulifikiri ni kitu gani?, dunia ya leo wanawake tunataka usawa, lakini ukweli ni kwamba hiyo haipo. LAKINI. Wanawake tumejaliwa na akili kuliko,itumie! kwani ukijishusha kwa mume wako unapoteza nini? Lakini unakuta kidada ana pride ya kufa mtu, hawezi kujishusha kana kwamba yeye yuko juu ya mume, ndugu ungejioa basi! Alafu wengine hamjui kuwa ndio umeshaachana na wazazi wako kila jambo ukaseme wa wazazi wako, na nyie wanaume mmo humu! Na kuwaambia ur 'bros' and beware hao marafiki unaowapeleka nyumbani, sio wote marafiki, wengine wanachora ramani tu. Alafu hizi tracking apps mnatumiaga zitawaua, i hope mtapata akili ya kufanya ya busara pale unapoona yule 'bro' wako yuko bize sana wife, yakikufika achana nae sije ukafungwa maisha, life's too good to be someones wife in a cell Keko, presha za nini?
Dah, am just sad yaani. Kuna haja ya mabinti/makaka ya kuwa na somo maana naona hata mabinti hawajifunzi kwa kutazama ndoa zingine na labda mama zao wanawaonea aibu. Somo sio kitu kibaya kama wanaume wanavofikiri na baadhi ya watu, watu wa Pwani wanaelewa maana yake. Ila wengine wanahisi tu uchafu kitu ambacho sio kweli. La sivyo tutachanga michango ya harusi weee, mtu unasumbuliwa na mchango ka deni, unawekwa kamati afu baada ya miezi sita ndoa chalii walahi nakutafuta unirudishie hela yangu. Ala!