Inakuaje hiii, kuhusu kuwa na mpenzi wa kike anayekuzidi urefu

dumejm

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,177
847
Hivi kunauwezekano .. .kumiliki demu aliyekuzidi urefu.. Pia ni sawa kumiliki mwanamke aliyekuzidi urefu...

Maana kuna wanawake warefu zaidi yangu ...huwa naingiwa na woga kuwatia sound..
Hebu tusaidiane kuclarify hili suala wakuu...
 
Vaa raisoni afu chukua maamuzi kama ya mbayuwayu
 
Hivi kunauwezekano .. .kumiliki demu aliyekuzidi urefu.. Pia ni sawa kumiliki mwanamke aliyekuzidi urefu...

Maana kuna wanawake warefu zaidi yangu ...huwa naingiwa na woga kuwatia sound..
Hebu tusaidiane kuclarify hili suala wakuu...
Ha ha ha inaonesha we ni mfupi eh!! Isikutishe hata ukiwa una mkwanja hata uwe mfupi kama zakayo uhakika wa kung'oa totoz warefu ni 100%.. hawachomoii yaani...
 
Mimi mwenyewe huwa nashindwa kuwatokea aisee japo kuna jamaa kama watatu hivi ninao wafahamu wake zao ni warefu sana kuwazidi lakini maisha yanaenda. Ukiwa na pesa za kubadilishia mboga wala isikupe shida sema itakuwa ngumu kuwapata wale wenye hadhi sawa na yako. Kwa maana si rahisi kwa mfano unafanya kazi bank ukampata binti mrefu mwenye kipato kama chako,hapo inabidi uwaendee walimu wenye kipato kidogo au wasio na kazi kabisa.
 
Hapo sawa ..maana kuna mtoto namuelewa kinyama sema nahis itakuwa jau ...kanizidi urefi kidogo... Shukrani sana mkuu
 
Mimi mwenyewe huwa nashindwa kuwatokea aisee japo kuna jamaa kama watatu hivi ninao wafahamu wake zao ni warefu sana kuwazidi lakini maisha yanaenda. Ukiwa na pesa za kubadilishia mboga wala isikupe shida sema itakuwa ngumu kuwapata wale wenye hadhi sawa na yako. Kwa maana si rahisi kwa mfano unafanya kazi bank ukampata binti mrefu mwenye kipato kama chako,hapo inabidi uwaendee walimu wenye kipato kidogo au wasio na kazi kabisa.
No ,money is nothing when it comes on the issue of true love

Money can't buy the heart of somebody he /she will act that he loves you but in reality he/she lies you and the money you give her ,she will inturn give another man that she loves him alot
 
Back
Top Bottom