Usibishe huu ndo ukweli

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
659
857
Habari za jumapili wana JF I hope iko poa

Hivi kwa nini wanawake wengi ni wafupi hivoo jamani ?asilimia 85% ya wanawake ni wafupi.
Mimi Nina urefu wa Futi 6.8 wanawake kama hawa ukiwatafuta hapa Tanzania wanahesabika labda wanywaruanda ndo warefu wanawake wengi range yao ni Futi 4.5,5.5, mpka 5.8 sasa Mimi Nina Futi 6.8 Nina msichna Wang ana Futi 5.8 wewe huoni nmemuacha sana???. Kwa nini wanawake hamrefuki???
 
Kasali acha kuuliza maswali ambayo hayana logic
 
Kiufupi watanzania ni wafupi especially wa kanda za pwani uko ni wafupi sana warefu wengi wanapatikana kanda ya ziwa rukwa kidogo na arusha

Ila kiusawa mwanamke hatakiwi kuwa mrefu sana zaidi ya mwanaume hata ukiangalia wazungu utakuta asilimia kubwa ya wanawake ni wafupi kulinganisha na wanaume
 
Kweli mkuu umeongea ukweli mtupuu
 
Mbali na gene, lkn Lishe pia inaathiri sana kimo cha mtu.. mfano kimo cha mtt mbali na kuathiriwa na kimo cha wazazi wake lkn pia kutokupata Lishe ya kutosha na kwa namna inavyofaa tangu ujauzito na pindi mtoto anapokuwa katika ukuaji wake ndiko kunakodumaza...
Nafikiri pia Mfumo wa maisha kama suala la kubeba mzigo mizigo vichwani jambo linalofanywa zaidi na wanawake tena hata wakiwa wadogo bado linaweza kuathiri kimo cha mtu.
 
Kama ni kweli uko 6'8 basi wewe ni mrefu sana hata kwa standards za wazungu ambazo unafosi vimwali vyetu viendane navyo
 
Aliekupa wewe urefu ndie huyohuyo aliewanyima wenzio,sio kitu ambacho mtu ana kontrol nacho,So ungetueleza wewe huo urefu wako umekunufaishaje ama umeutumi kwa jambo gani la maana zaidi ya braggin rites
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom