Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,675
Niliwahi nyanyuliwa na wife juujuu toka Saloon mpaka home.Nimeoa mjaluo wa Rorya,wanawake wa Kijaluo wana wivu sana manina.
Ilikuwa weekend,yeye katoka kanisani,nikamwambia nipitie hapa saloon mitaa fulani.Ile anafika pale saloon mi ndio namalizia kunyoa.Mke wangu huwa hasuki,ananyoa nywele fupifupi...Maana kwa asili ni Mjaluo-Msabato,sema mimi nilimbatizisha Katoliki na masacrament yote kapokea.Mambo ya Maranatha hakuna tena,anapiga Cocacola na kambale kama kawa.
Sasa sababu ya mazoea ya kisabato,huwa hasuki kabisa.Kwa hiyo alipoingia pale saloon mi nikawa nimemuona ktk kioo nikatulia.Wale jamaa wa Saloon wakajua anataka na yeye kupunguza nywele.Wakanza kufanya harakaharaka ni wampe huduma.
Kidogo mi nikanyanyuka,dada wa Saloon akaanza kunipukuta,mara kushika kidevu anafuta,mara vidole masikioni kutoa nywele...Nimekaa kidogo yule dada kaleta kopo kaanza kunipaka sijui ku-scrab.Hapo namcheki wife via kioo amekaa anatazama mchezo.
Ngoma ikawa pale kwenye kushikwa shikwa,mara shingo mara kidevu,mara sikio mara kichwa.Ile raha raha mi nafumbafumba macho.Nikasikia sauti huko nyuma,We Baba Olutu,huko ni kunyoa au kurembwa?Maana dada wa saloon ana nyonyo la maana,ananiinamia huku ananiongelesha.
Naguswaguswa na nyonyo lainiii...Hazikufika dakika kumi nikaona nanyanyuliwa na wife kwenye kiti na kuvutwa,nikasikia tu, baba twende nyumbani ntakuosha mwenyewe...Kama ndio hivi,naweza mwenyewe...Kuepusha shari nikalipa na kuondoka na dawa kichwani nikaingia kwa gari mpaka home.....Sijawahi rudi tena ile saloon!!
Yaani nilipewa hata masharti ya kwenda Saloon za mitaani!Zile za kawaida kabisa ambazo jamaa akikunyoa anakupukuta na kitambaa tu unasepa.Toka siku hiyo nimeacha kabisa kwenda hizi saloon zenye warembo ili kuepusha shari na wife.Nikaona bora nijishushe tu kuepuka vurugu.Ila ukweli wale wadada wa kuosha watu saloon wanatekenya sana...Wana makusudi sana na vidole vyao masikioni na kidevuni huku nyonyo zikigusagusa mwili unapokuwa kwenye kiti.