Tumeachana lakini bado ananipigia simu

Tumeachana lakini bado ananipigia simu

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,112
Reaction score
4,663
Asanteni wadau Kuna post zangu nilituma humu kuhusu ex wangu,wengi wakanishauri kuwa MTU kama umeachana naye usimfuatilie basi kweli nikafuata Ushauri wenu nikawa simtafuti fb,wasap,text wala kumpigia simu,lakini Jana nikakuta missed call yake nikampigia akaniambia alitaka kunisalimia je wadau MTU mukiachana ni sawa kuendelea na mawasiliano
 
kwani kabla ya mahusiano mulikuwa hamsalimiani?..Kakusalimu hajakuambia murudiane tatizo liko wapi?
 
Kuchanika kwa Jamvi siyo mwisho wa mazungunzo.

Ina maana ukimkuta mahali amepatwa na tatizo utampita tu hutamsaidia?
Au akikuona umepatwa na tatizo akupotezee tu?
 
Salamu mtasalmiana Sana but mwisho wA ck anakuomba mkumbushie walau alichomic kwako so at the end itabid ufanye hivyo (gegeda ) mnabak kuwa friends for benefits.

Mm kuna x wangu tuliachana akaenda kivyake nami kivyangu, huko alikokwenda yakamkuta sijui aliokutana nao aliona hawafai is up to her...

Akaanza kuni call cjib, text, cjib n.k mwisho nkamjibu mm tayar nna mtu yaan gf akasema poa.

Juzjuz katuma text anasema kanimis anaomba walau tikapumzikiane Kama flash back ya enzi of course ilibid iwe hivyo coz alisema nisipo fanya hivyo hataacha kunitumia text za mapenzi na kupiga CM something which can threaten my present relationship with my lovely gf but nikamwambia tuna do bac mambo mengine tupa kule and that is what happened to me.

Hopefully anachotaka kwako ni namna ya ww kurudi but ukiwa na msimamo mtaishia kukumbushia but you should put on some terms and conditions that should be adhered by that girl LA sivyo kuna wadada wengine vichwangumu, anaweza kukuharibia hata mahusiano yako kisa kitu kidogo tu.

So kwakuwa ww bado anakupigia CM keep communicating with her lakin kumbuka in other side una threaten uhusiano wako WA sasa. Otherwise that x is fresh minded lakin akiwa Kama that of me duh take note one day u will realize my written words via this page.
 
Ulikuwa mwema kwake na huko aliko kakosa wema huo, hapo jua anaanza kurudi pole pole
 
Endelea na mahusiano nae ila sio ya kimapenzi usije ukazua mengine
 
Kama tayari una mahusiano au umeowa aukuolewa basi mawasiliano na ex sio mazuri kwa afya ya mapenzi yako na mtu uliyenaye…je utajisikiaje mpenzi uliye naye akiwa na mawasiliano na ex wake? Basi jiongezeeee
 
Asanteni wadau Kuna post zangu nilituma humu kuhusu ex wangu,wengi wakanishauri kuwa MTU kama umeachana naye usimfuatilie basi kweli nikafuata Ushauri wenu nikawa simtafuti fb,wasap,text wala kumpigia simu,lakini Jana nikakuta missed call yake nikampigia akaniambia alitaka kunisalimia je wadau MTU mukiachana ni sawa kuendelea na mawasiliano
Kwahiyo kila mtakalofanya huko utatuletea huku tukushauri??
Unaumri gani wewe..??
 
Hili nalo la kuomba ushauri[emoji15]

:Silasc
 
Kama unaye mpenzi mpya jaribu kuwa makini na mawasiliano yenu ila salamu tu siyo mbaya.
 
Back
Top Bottom