Siri ambayo ungependa kuifahamu

Girland

JF-Expert Member
Jan 24, 2016
2,489
4,240
Habari za majukumu waungwana .Katika kutafakari Leo nikawaza Katika maisha yako ni jambo gani ungependa kulijua au kufahamishwa.

Jambo hili laweza kuwa ndani yako au jamii inayokuzunguka kwa ujumla.
Karibuni.
 
Back
Top Bottom