FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,094
- 1,358
Fid Q aliwai kusema "Sijawai penda km hivi ILA mapenzi yakaniteach"
Mistake niliyofanya kwake Ni kuanza kumpenda kabla hata ya kupiga nae story, hapa ndio nimeharibu kila kitu. Nimevunja miiko aisee, acha mizimu iniadhibu.
Kinachoninyima raha Ni kuwa huyu mtoto hakosi danga, hakosi mchumba, akosi bwana.. Nimejaribu kumpotezea yani kuacha kumpenda ILA wapi, Yani kila nikikutana nae nakuwa km fala flani kwa dak kazaa, akinipita ndio akili hunirudia tena.
Wakuu, nilijaribu kuchukua namba zake kwa rafik yke flan hivi, ILA washauri wangu wa kichwani wakanitaka nizifute, kwani ikitokea tukaacha kuelewana ndio takuwa nimempoteza mazima. So nilizifuta
Wakuu, nipeni ushauri wa jinsi ya kufanikisha ndoto yangu, na km Kuna viashiria vya kunitosa niambien PIA, ili nikae nae mbali mita nyingi Sana, kwani kutoswa na mtu unayempenda kwa dhati , inaumaga sana .
Hakuna haja ya matusi