Clubbers; Unapenda Mwenza wa Tabia Zipi?

Marumeso

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,410
1,322
Wakuu kwa wale waenda disco waume/wake, je unapenda mtu unayeenda naye awe na tabia zipi?

Mimi napenda dem mchangamfu anaependa kucheza mziki hasa km akiwa mkatikaji mzuri, asiwe mgomvi au mpole sana.

Karibuni.
 
Back
Top Bottom