Binti, msichana na mwanamke tofauti ni ipi?

Principle girl

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
1,107
1,094
Naomba kujua tofauti ya binti msichana na mwanamke,binti ni yup msichana ni yup na mwanamke ni yupi?
 
1.binti_ ambae tayari kesha vunja ungo

2.msichana_ ambae bado nimtoto kwa ujumla wake

3.mwanamke_kuanzia miaka 25 nakuendelea yaana ambae tayari keshatoka kweny kundi la foolish age. Na ambae anajua what to do or not in her daily life
 
Michana ni mtoto wa kike ambae bado hajavunja ungo.

Binti ni ni msichana alievunja ungo

Mwanamke ni msichana aliezaa au mwenye umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea bila kujali kama kazaa au bado.
 
Msichana ni wale ambao bado hawajavunja ungo.

Binti ni wale waliovunja ungo tayari.

Mwanamke ni wale waliokwisha kujifungua na kupata mtoto...

Kuna wale waliotoa mimba, hao tunawaita mabinti- digitali. Au mama wajane.
 
Back
Top Bottom