Soma sababu zinazo pelekea ndoa nyingi kuvunjika

Richard chilongani

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
324
112
Ndoa nyingi zipo mashakani kwa sababu manung'uniko, hasira, kutovumiliana,kufoka,kutukanana,kutoaminiana, kuwaziana mabaya badala ya mazuri, kujikweza kwa majivuno yasiyo na maana, kunyimana unyumba bila sababu ya msingi, kuachiana kazi za nyumbani, kutotoka out pamoja, kupiga au kupigiwa simu na watu baki na kuongea mbali na mwenzi wako, kuchati muda mrefu wakati upo na mwenzi wako, kuweka visingizio lukuki hayo na mengine mengi ndivyo vya ndoa kuvunjika, wapendwa kuyashinda Hays in kufunga na kuomba kwa Jina la Yesu.
 
hapo bila kutaja pesa hujapata jawabu
kwa usawa huu wa Magu na ndoa zilizofungwa kwa JKhywezi wadanganya WaTZ
 
Njia za kutatua na kuimarisha ndoa. Papuchi isiwe inatolewa kwa vipindi, Kwa baba ni sawa na mtoto anapohitaji kunyonya lazima mama amnyonyeshe tu, na papuchi mpe baba hadi ashindwe mwenyewe. Pia baba asiogope kumkunja wife kila style hadi akimbie kitandani. Anza na wife bafuni, bao la mapema lazima lipigwa mkioga. Wife achezee kibakora na kusack hadi bao la pili afu ndo la tatu apige mashine. Hayo mengine yote ni mbwembwe tu. Mimi HUWA NAFANYA HAYO HADI MTOTO AMECHANGANYIKIWA HATA KUFIKIRI TU KUCHELEWA KURUDI HOME SIO RAHISI ACHILIA MBALI NDOA KUVUNJIKA.
 
Imaonekana wewe unajua ndoa ni papuchi tu,htakama mkeo anapigiwapigiwa simu na ma-ex wake,hujali,ni papuchi upewe,hatakama kakukosea heshima kivipi,wewe ni papuchi tu,kweli JF ina watu wa kila aina.
 
Back
Top Bottom