Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Asalaam Alaykum, Mwanaume ukishafikia rika la umri wa makamo ndipo utakuja kugundua kwamba ulifanya jambo la msingi sana kumuoa mwanamke mwenye akili ya darasani na maisha kuliko mwanamke mwenye...
16 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwenye jambo lolote linalofanyika kwa makubaliano ya watu wawili,lazima pawepo makubaliano ya maandishi au maneno. Kwenye mahusiano(mapenzi) mala nyingi huwa tunakubaliana kwa Maneno na kila mtu...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Amani iwe juu yenu, Mimi binafsi nilioa mapema sana katika harakati za kutuliza michepuko. Nilioa nikiwa kidato cha pili, hadi nafika cha nne tayari nilikua na mtoto mkubwa tu na hadi namaliza...
2 Reactions
123 Replies
9K Views
Kama unapata wakati mgumu wa kumuomba mumeo au mkeo mzigo mwambie hivii, 'Baby, amka tulale'... Hapo atakuwa amekuelewa...
25 Reactions
185 Replies
24K Views
MAMBO MATANO (5) YA KUFANYA NA MTOTO AKIWA AMEBAKI NYUMBANI ANAUMWA. Kuna wakati inatokea mtoto anaumwa inambidi asiende shule angalau siku moja au mbili ili apone. Bila shaka mzazi atahakikisha...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Salam, Yaani kwa kweli Maneno yanayoongelewa na wake zetu juu ya kosa la Msando ni Gharama kubwa sana kwetu sisi wanaume wote. Kuna mahali nimesoma wanasema Msando kushuka kwenye range kapanda...
5 Reactions
85 Replies
10K Views
Wadau habari zenu, Poleni na majukumu ya kila siku, Leo nimeamua kushare na nyie tabia ambazo naona zimeendelea kukita mizizi katika maisha yangu ya kila siku. Nimekuwa mtu wa kutokujali mambo...
16 Reactions
85 Replies
9K Views
Nikiwa chuo kuna binti mmoja mrembo kweli kweli alikuwa anawatolea nje vijana wengi. Kila aliyejitahidi kumtongoza aliishia kupigwa vya mbavu. Sasa kitu kinachonifanya nishindwe kumsahau hadi leo...
5 Reactions
75 Replies
9K Views
Mods karibia nyuzi zangu mnazifungia sijui kwa nini? any way ila ntaendelea kuwachapa hawa watu mpaka wabadilike. habari MMU Kuna baadhi ya memba wa kike humu jukwaani nawashangaa sana...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Alikutana na wewe ukiwa kijana kabisa, ukiwa ndiyo unayaanza maisha ndani ya chumba kimoja na kitanda tu. Unamkumbuka yule mwanamke, yeye alikua bado anaishi na wazazi wake lakini alijitahidi...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari Hapa MMU kumekuwa na tabia ya baadhi ya memba ku-tag-ana wakati mtu anashida ya ushauri. Wengine wanaenda mbali sana mpaka kuitana mashemeji, ba' mdogo, wifi, mjomba nk. unakuta uzi...
31 Reactions
51 Replies
7K Views
Kuna dem tunasoma nae chuo. Hii semester ya 2 namtongoza. Naenda room kwake nayey anakuja kwangu. Naweza shinda nae hata siku 2 mfululizo. Hajanipa jibu halisi ila huniambia kila siku subiri...
4 Reactions
124 Replies
15K Views
Mm kuwa na mke mmoja tu naona ni tatizo. je hao wanao kuwa labda na wanawake watatu huwa wao wanawezaje? na wanajigawanya vipi?
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Wanabodi habari, Jana narudi job jioni nmefika zangu home nakuta wife karudi toka kazini kwake anakaangiza nikaingia chumbani baada ya mda nikatoka kwenda dukani nikaacha simu kitandani basi wife...
21 Reactions
345 Replies
22K Views
Kama unajijua uu miongoni mwa wenye tabia ya kupenda kuopoa "visu vikali"karibu kwenye kila kumbi za starehe especially night club, basi hii habari inakuhusu. Mchizi mmoja ambaye jina lake...
3 Reactions
58 Replies
13K Views
How to Arouse Girls Arousing women isn't rocket science, but it can be an art. To arouse women, you have to strike the perfect balance between being aggressive and coy in order to set the right...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Hivi nyie munashindwa kutafuta pesa wenyewe hadi munakuwa kama omba omba,MTU nimekujua dk mbili tu unaniambia una njaa ww VP kwa iyo mm mpishi,Mara Ohoo sina vocha uza simu ukanunue vocha ,muna...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Nina Uhusiano na Bint Mmoja takriban miez mitatu nampenda lakin anadharau huwa ni mtu asiyejal hata kama nikiwa naumwa yeye anajal yake ila yeye akiumwa ss unaeza sema umegeuka house girl....Ila...
3 Reactions
58 Replies
5K Views
Habari wana uzi wenzangu natumaini tu wazima na tunaendelea kutekeleza majuku yetu ya kila siku, nawasalimu sana; Nimekuwa na mahusiana na mwanamke mwaka sasa, ni mzuri mcha Mungu, ana kazi yake...
7 Reactions
89 Replies
10K Views
Je nyimbo gani nzuri huwa unaiskiliza mara kwa mara hasa nyakato hizi za usiku inakupa Usingizi mubashara""' Kwa upande wang" Jim Reeves:Put ur sweet lips closer to the phone huwa naiskiza mida...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…