KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 1,776
- 1,536
Kwenye jambo lolote linalofanyika kwa makubaliano ya watu wawili,lazima pawepo makubaliano ya maandishi au maneno.
Kwenye mahusiano(mapenzi) mala nyingi huwa tunakubaliana kwa Maneno na kila mtu hupaswa kuyaishi maneno yake.Na kwenye ndoa pia huwa kuna viapo ambavyo wanandoa huvifunga juu ya ndoa zao,na mmoja wao akifanya kinyume na kiapo inafaa apewe adhabu anayostahili(kulingana na ukubwa wa kosa).
Pia askali yeyote anapokula kiapo cha kulinda na kuitetea nchi,akaisaliti nchi yake adhabu stahiki kwake ni kifo.
Kwa mimi binafsi ambae nimeshawahi kupenda na kulinda maagano yetu kwa nguvu,Mali pia na hali,baadae nikasalitiwa naona nisahihi kabisa kwa adhabu waliyopewa(yakuchomwa moto na kuuwawa).
Kama wewe njia yako yakuondoa majonzi moyoni mwako nikulipa kisasi,basi unastahili kulipa kisasi kikubwa ili uitosheleze nafsi yako.Usipofanya lile ambalo moyoni mwako unaona ni sahihi basi utaishi kwa masononeko maisha yako yote.Na hakika itakuwa unatembea huku moyo wako umeshakufa na hatma yake utaumiza watu wasio stahili.
Mimi binafsi baada yakutendwa na mtu niliempenda kwa moyo wangu wote.Na kukubali kubeba maagano yetu yote na karibia tunataka kufunga ndoa akanisaliti na kuniacha hakika,niliumia sana na kwa vile naamini katika kulipa kisasi ndio njia yangu yakumaliza maumivu.Hakika nililipa kisasi kiasi kwamba alieniacha na familia yake kamwe hawawezi ni sahau.Na sasa naishi kwa amani,moyo wangu,akili yangu vikiwa huru kabisa.
Haiwezekani mtu uwekeze pesa,akili,muda kwa makubaliano maalum pia mtu uliekubaliana nae avunje makubaliano kirahisi.Lazima alipie kwa njia yeyote ile ambayo naiona inafaa.
Kila mtu ananjia yake yakumaliza maumivu yake, wapo wanaosamehe,wanaokubali kuyaacha yaende.Lakini wapo watu wakulipiza kisasi kama mimi,hakika lazima nikuadhibu kwa njia inyokubalika katika jamii au isiyokubalika.Lakini mwisho wa siku lazima nikuache moyo wangu ukiwa katika amani yakutosha.
Kama naona njia sahihi nikukuchoma moto basi ntakuchoma,kama ni ndele basi utapigwa,kama kukuacha uende basi ntakuacha lakini lazima mwisho wa siku nilinde maagano yangu kwa uwezo wangu wote,ili nisiishi kwa masononeko, kama mtu ataenda kufia gerezani basi naamini hatojuta kwa yale alieyofanya.
Hakika lazima makubaliano yawe ya maneno au maandishi lazima yaheshimiwe na kulindwa na ukiyavunja lazima nikuadhibu ili niishi nikiwa huru.