It is 1st June....
Special day for ICHANA
Its her birthday
ICHANA sina maneno mengi ya kuandika juu yako ila kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa kwako. Mshukuru MUNGU wako maana ni kwa rehema...
Kwa wale mliopo Morogoro (mji kasoro bahari) leo nimekuja kuwatembelea. Naomba kampani ya kike kwa usiku wa leo - natamani niende club. Nicheck tafadhali
Habari za asubuhi wapendwa wangu ..
Nimeona wanaume wanalalamika ooh mke wa mtu , mke wa mtu then what?
Sasa wanaume niwaweke sawa TU kuwa mke wa mtu haina maana mimi kihisia, kimatamanio...
Habari za jioni wakuu? Shalom!
Rejea kichwa hapo juu, kwa Hakika hakuna kijana anaejielewa anayependa kuingia katika taasisi nyeti ya ndoa kwa njia isiyoeleweka namanisha isiyo rasmi yaani bila...
Ndugu wana jf,
Wakati mwanaume mafanikio kwake ni pesa, Mali, utajiri na afya imara yenye uwezo Wa kutotoa watoto!
Kwa wanawake mafanikio maana yake ni tofauti kabsa na mwanaume!
Ona maana ya...
Ndugu wanajamii forum,naomba kufahamu utamjuaje mwanamke aliewahi kutoa mimba zaidi ya miaka mitano au zaidi iliyopita,yaani kama aliwahi kutoa kwa muda huo halafu wewe unataka kufahamu kwa...
Makala hii ameandika Gladys Chiduo kwenye FaceBook, yaliyomo ni funzo tosha kwa maisha ya ndoa, hasa za vijana wa kileo (.com).
"Mwanangu nisikufiche watu wengi huchangia sherehe ili waje kula na...
Habari wakuu,
Hii kitu nimeikuta huko kwenye media za Kenya na inafikirisha.
Uaminifu katika ndoa iwe ni kutoka mioyoni au iwe kiinimacho tu!?
Je, uchawi kwenye mapenzi upo au ni porojo tu!?
Hebu...
Kama wewe unahisi kuwa unaweza kuwa mke mwema karibu PM kwa kufahamiana zaidi..naishi Dar.... Mengine utayajua ukija PM
Ukija PM acha namba nitakupigia..
Za leo wakuu, samahani... Mwanamke 45+ (miaka) kama ameshika ujauzito... mtoto akizaliwa atakua salama kiafya na kiakili? Kwa wale wataalamu msaada tafadhali, nawasilisha.
Kijana at work
Utengenezaji wa kucha na uoshaji miguu ni biashara inayokuwa kwa kasi hasa maeneo ya mijini ambapo wanawake wengi wanahusudu na kujihusisha na masuala ya urembo.
Biashara hii...
Wana JF habari!!
Nimekaa nikawaza kuhusu harusi bila kuchangiwa hata mia labda mawazo tyuu !!
Kiwango nilichopanga ni kuwa nacho ni million 6 je itaosha kumaliza mchato mzima!!
Wenye uzoefu na...
Juzi kati nilikutana na shogangu hapo Mcity, akawa yupo bothered!
Akanilalamikia
Money Penny me nina mpenz wangu tunapendana sana sana sana
Lakini huyu bwana me simwelewi kabisa sikuhizi ni kama...
Ndugu zangu wanaume wenzangu,kuna wakati tunafanya mambo na kuona ya kawaida sana,lakini ni hatari kuliko tunavyoweza kudhani.
Hapa nilipo siamini kilichonitokea,na sijui kesho yangu itakuwaje...
jamani habarini ndugu,me ni mwanaume umri miaka 27,ninampenzi wangu,na tunapendana kinachonipa tabu ni kwamba mpenzi wangu anatamani sana nimpe mimba kabla ya ndoa,sasa najiuliza ananipenda kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.