Ni Mahaba tuu .....

Kasie kwenye ubora tena.
Too sad kwangu unsupported video.

Ooh pole ila ukiiona video utaona jinsi kumbato la huyu baba linavoonekana ni tamu......

Hicho kifua sasa... looh mie hoii
 
MAHABA NIUE

Mahabat ya Kasie kwa huyu baba yaani hilo kumbato, sauti, jinsi anavyoongea, kifua chake, anavyotazama dooh mie huku nyoronyoro... hapo hata kama ndo nimetoka kumfuma live amecheat na ndo anabembeleza hivo na kumbato hilo wallah namsamehe tuu

Heheheheheheee looh Kasie mie...
 
Umeanza mambo zako binti wa kale....
Mambo za mahaba yaani... Kasie na mahaba ni dam dam
Ila huyo baba mtamu aiseeh daah..
Basi hizo ndo type zangu nikizungurushwa hapo natulia tulii kwenye kumbato heheheee
 
Mambo za mahaba yaani... Kasie na mahaba ni dam dam
Ila huyo baba mtamu aiseeh daah..
Basi hizo ndo type zangu nikizungurushwa hapo natulia tulii kwenye kumbato heheheee
Kama samaki na maji vile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom