Nimeshtuka sana wakuu na pia nimekosa raha, kwa sababu sina kabisa
mambo ya kishirikina.
Ni miaka mingi sasa imepita toka nimchumbie yule binti, si hivyo tu nilimlipia
ada ya chuo baada ya wazazi...
MWANAUME AKIKUOMBA VITU HIVI VITATU JUA HANA MPANGO WA KUKUOA
Katika mapenzi kila mtu ana watu wa aina mbili, aina ya kwanza ni ile ya watu wa kuzuga nao na kupotezea muda na aina ya pili ni ile...
Kuna jamaa mmoja kanipa mfano mmoja wa wanaume na wanawake kuwa pamoja na umapepe wa wanawake kujidhalilisha kwenye kumbi za starehe kwa kuvaa nusu uchi lakini kamwe huwezi kuta mwanamke kichaa...
Hili ni tukio la kweli kabisa, rafiki yangu mkubwa Patrick (siyo jina lake halisi) alimpenda dada mmoja mrembo kweli kweli, wakaanza mapenzi kabla ya ndoa.
Na kisha mahari ikafuata ,wale wazee...
katika pitapita zangu nikiwa katika bar flani hivi nilimsikia mdada mmoja akizungumza na mwenzie
katika mazungumzo yule mdada alikuwa akimuelezea kuwa kuwa anawachukia sana wanaume"
Basi yule...
1.Husaidia uzalishaji wa homoni ya “oxytocin” ambayo husaidia sana mwili kuondoa tatizo la kuhisi upweke, hasira, na kutengwa.
2.Unapomkumbatia mtu, unaupa mwili hali ya kujihisi salama na huru...
Habari zenu wakuu.
Nina rafiki wa dhati kabisa moyoni mwangu kupitia humu humu JF.
She is a user of jf,kitambo kidogo. Nakumbuka pishana kiswahili somewhere (sikumbuki ni Uzi gani) nilimjibu shit...
Hii inatokea pale mwanaume anafanya mapenzi mshindo mmoja tu na kufanya ile nguvu ya mapenzi kubaki mwilini, yaani ni hivi unakuta mwanaume katoka kufanya mapenzi lakini baada ya muda kupita...
Ndugu zangu tumekuwa tukilalamika na wengine kulialia juu ya mapenzi je hakuna kingine cha kufanya? Yaache mapenzi yaende zake tafuta jambo la kufanya na maisha yatasonga mbele.
Tunalia mara moja...
Kila upande katika ndoa au mahusiano unafanya kila namna kuhakikisha mwenzake hachepuki. Namna ni nyingi ikiwa ni pamoja na kuridhishana kitandani, kutunziana heshima, kutafuta pesa na matunzo...
Yaani siamini kama nimependa tena jamani, i real love him to the extent siwezi elezea tatizo langu nitatokaje hapa.
I have tried but nashindwa, najikuta naumia coz i know he is not there for me...
Heshima yako mwana MMU. Natumai mko salama na mnaendelea poa sana katika ujenzi wa taifa Letu.
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Juzi nimedhihirisha na kutambua umhimu wa huu msemo wa kwamba...
Wadau Karibuni sana wale wote wenye Malengo na ambao tupo kwenye maandalizi ya kwenda kujitambulisha ukweni Karibuni tupeane maujuzi
1:Mavazi gani siku ya mahari
2:Umemjua vya kutosha mchumba...
hbr wana jf. hivi ni jina gani la pili mwanamke atumie akishaolewa....??? la mme wake au la baba yake. naomba tujadili hili kwa leo. mfano mwanamke anaitwa Rehema na babake anaitwa Alex. kabla...
Hivi watu wanaofanya mazoezi ya nguvu kama wacheza mipira, mieleka, ambao misuri imekakamaa na kugangamala kwa kiwango kikubwa, JE hata dushelele huwa inagangamala hivyo. If so Wamama hawapati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.