Ni udomo zege uliopitiliza,kutafuta dem au mchumba hapa JF baati mbaya hata mtu hujamuona.Ivi uko mtaani kwenu hakuna wanawake;hizi ndo hasara za kuangalia porn kila unapoangalia ndio zegee...
Habari wana bodi,
Nimara chache sana kwangu kuja kutupia kathread humu,huwa nakuja mara baada yakuona yamenifika hapaaaa!
Bila kupoteza muda nikwamba,nilitokea kuanzisha mahusiano na dem flan...
Salaam,
Mahusiano hayana darasa wala uzee na kila siku hujitokeza mapya hivyo si vibaya kubadilishana mawazo hata kwa vitu vidogo vidogo ili kueneza upendo kwa wenza wetu.
Jana nilikuwa na muda...
Habari ya asubuhi wana Familia!
Leo na mimi nimeona nije na hii mada ambayo siku za hivi karibuni imekuwa gumzo sana hapa JF.(suala la vibamia na Mabwawa)
Nitaongea kwa experience,kwanza nitoe...
Ni asubuhi moja hivi jamaa anaondoka kwenda kazini anamuaga mkewe.
"Mimi pia nitatoka mchana ntaenda mahali charger ya laptop yangu imekufa ntaenda kununua"alijibu huyo mkewe.
"Ok basi...
kama upo kwenye mahusiano ebu tuelezane hali ya mausiano yako na mpenzi wako huko ipo vipi.
kila siku vituko au mapenzi mubashara, unahisi upendo umepungua au umeongezeka!
huku kwangu mimi ni...
1. Ni nani aliwadanganya eti ukioa mwanamke msomi mwenye pesa ndo kufanikiwa kimaisha?
2. Ni nani aliwaambia mkawategemee wanawake wawasaidie kuhimu majukumu ya familia?
3. Ni nani aliwadanganya...
Wapenzi wanapokuwa faragha ya Hotelini wanafurahia Zaidi kitendo cha mapenzi kuliko wanapokuwa nyumbani. Kwa sababu zifuatazo.
Vyumba vya hotel vimeandaliwa kwa mpangilio wa kuvutia kuliko...
kuna utamaduni nimesikia sana eti ukiandikiwa mahali kiasi Fulani basi ni bora utoe pungufu na usimalizie ebu tupeni uzoefu kidogo hapo
mfano mahali 2Mil basi unaweza peleka 800000
HII NI NONDO KWA WANAUME
Baada ya kupata ajali ya gari, na kutolewa jicho moja huku uso wake ukiwa umeharibika Anna aligopa hata kutoka nnje achilia mbali kutoka na mumewe kwenda sehemu za...
Bwana asifiwe sana.
Kwa Neema za Mungu tunakutana hapa, hii audio niliahidi jana ila imewafikia leo. Hello 27 mambo ya audio tu sio kusoma page 30. Halleluyah! Tupate uchambuzi wa neno.
Habari wapendwa, ni matumaini yangu mnaendeleza libeneke la weekend.
Mara nyingi ndoa zinapovunjika katika jamii yetu, anayelaumiwa zaidi huwa ni mwanamke, pasipo kuangalia upande wa pili, hata...
Habari wana JF..
Mimi nina mpenzi wangu ambaye tayari alishazaa mtoto mmoja na mwanaume mwingine (nilimkuta tayari kasha zaa) .
Nikamtongoza akakubari, nikampenda sana naye alinijibu the same...
Wanajamvi natumain muu wazima
Uzoefu unaonyesha kuna vitu 12 venye majina mengi sana ya mtaani ambavyo ni
1.mwanamke- manzi, shery, demu, totoz, uzingizi wangu, baby, mchuchu...nk
2. Bangi-...
Amani ya Bwana iwe nanyi nyote.
Tafadhali nisaidieni hili, Mara nyingi sana au zote mwanamke akimfumania mume au mpenzi wake na mwanamke mwingine huwa hapatoshi. Watapigana,watakashifiana na hata...
Leo usiku aisee nimeota ndoto moja nzuri sana, Yani nimeota nipo sehemu siijui lakini inaonyesha ni ofisi sasa mle ndani tulikua watu wanne, Mimi na boss wote wa kiume halafu kuna wakike wawili...
Ndugu wana-MMU leo ni krismasi tunapokumbuka kuzaliwa kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo. Nawatakia kila la heri katika siku hii. Lakini vilevile ni siku ya kuzaliwa kwa mwana-jukwaa mwenzetu...
Nitakuwa na pillow talk hapa MMU
NAFASI YA ELIMU KATIKA MAPENZI
Ni pillow talk tutaenda katika nyanja tofauti
Everyone wellcome and watch
Nitakuwa na kiwatengu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.