Mkuu samahani Kama Ni Msoma Bibilia hilo swali lako lilishajibiwa kitambo .....Za leo wakuu, samahani... Mwanamke 45+ (miaka) kama ameshika ujauzito... mtoto akizaliwa atakua salama kiafya na kiakili? Kwa wale wataalamu msaada tafadhali, nawasilisha.
Si msomaji kiviile... Naomba unielekeze ni sehem gan .. Tho nakaribisha mawazo toka kwa wengine pia haswa wale wataalam ktk maswala ya uzazi na walioexperience n wanaoexperience mazingira haya...Mkuu samahani Kama Ni Msoma Bibilia hilo swali lako lilishajibiwa kitambo .....
Tunatofautiana wengine kuanzia 35. Mama yangu mkubwa alipata last born wake akiwa 50 ni kijana mwenye afya njem ameoa na familia na yeye ndiyo anamtumza sana mama yake. Ni kama Mungu alimpa msaidizi.Kwani mwisho wa mwanamke kuona siku zake ni miaka mingapi? na je akifikisha miaka zaidi ya 50 bado anapata MP kuna tatizo?
Aisee basi ni hatari!Tunatofautiana wengine kuanzia 35. Mama yangu mkubwa alipara last born wake akiwa 50 ni kijana mwenye afya njem ameoa na familia na yeye ndiyo anamtumza sana mama yake. Ni kama Mungu alimpa msaidizi.
Sky, hili ni swali zuri, please bring a comprehensive answer. Tunakutegemea wewe please!Watampima hospitali kuna uwezekano wa kuzaa mtoto mwenye downing syndrome lakini haya ninaona yanatokea mara nyingi kwa wazungu. Kuwa na imani ya Sarah mke wa Ibrahim kwenye kitabu cha Kutoka.
Za leo wakuu, samahani... Mwanamke 45+ (miaka) kama ameshika ujauzito... mtoto akizaliwa atakua salama kiafya na kiakili? Kwa wale wataalamu msaada tafadhali, nawasilisha.
Ndio Anakuwa Vizuri Sema Tu chance inaweza kuwa Ndogo... Kuna DNA defects zinaweza kujitokeza maana Hilo Yai Lililotunga Mimba Lina Miaka 45 toka Abalehe so Limekutana Na Challenge Nyingi za Madawa... Mionzi.... Stress n.kZa leo wakuu, samahani... Mwanamke 45+ (miaka) kama ameshika ujauzito... mtoto akizaliwa atakua salama kiafya na kiakili? Kwa wale wataalamu msaada tafadhali, nawasilisha.
Ndio Anakuwa Vizuri Sema Tu chance inaweza kuwa Ndogo... Kuna DNA defects zinaweza kujitokeza maana Hilo Yai Lililotunga Mimba Lina Miaka 45 toka Abalehe so Limekutana Na Challenge Nyingi za Madawa... Mionzi.... Stress n.k
Mkuu mayai si yanatoka ndo tunaita hedhi ...sasa inakuaje yai lake lina miaka hiyo ???Ndio Anakuwa Vizuri Sema Tu chance inaweza kuwa Ndogo... Kuna DNA defects zinaweza kujitokeza maana Hilo Yai Lililotunga Mimba Lina Miaka 45 toka Abalehe so Limekutana Na Challenge Nyingi za Madawa... Mionzi.... Stress n.k
Mwanamke Mayai Yake Hutengenezwa Akiwa Bado Yupo Tumboni Na Yanatengenezwa Kwa Idadi ambayoo wanasayansi wanakadiria Kuwa ni kati ya 300 mpk 500 ova(eggs). Na Anapokuwa Amezaliwa Yanakuwa Yamefikia Stage Tunaita Meiosis I. So yanakaa katika Ovary yakiwa katika Stage Hiyo Mpaka Pale Atakapobalehe na Siku Atakapoingia Hedhi ya Kwanza na Bahati Yai lake Likakuatana Na Mbegu ya Kiume basi Linaingua Stage Ya Pili Amabyo ni Meiosis II. Na linakuwa Complete Ovum with 23 chromosome na Ndipo lina Fuse na Sperm. .. kuna Elimu kubwa Hapo KidogoMkuu mayai si yanatoka ndo tunaita hedhi ...sasa inakuaje yai lake lina miaka hiyo ???
Kwa hiyo Janet Jackson atazaa mtoto tahira maana kapata mimba ana 50yrs.Sidhani mkuu mara nying watoto wanaozliwa na wazaz waliopiga age ndefu huwa vilaza* au matahira mara nying wanakuwa incomplete.
Madaktar wanashaur umri mzur wa kuzaa ni kunzia 18 hadi 30. Sababu wazaz wanakua active kimwili na mbegu za uzazi pia zinakua na afya.
Hakuna jibu LA ndio au hapana ila nachiweza kukuambia Kwa MTU maarufu mpaka Kufukia sasa atakua ashafanya vipimo vingi na vya uwezo mkubwa kujua hali ya Afya ya mwanae ajae hivo anajielewa huku kwetu hakuna uwezo huo ni nature tu inafanya kaziKwa hiyo Janet Jackson atazaa mtoto tahira maana kapata mimba ana 50yrs.