mindpower
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 1,049
- 1,211
Ndugu wana jf,
Wakati mwanaume mafanikio kwake ni pesa, Mali, utajiri na afya imara yenye uwezo Wa kutotoa watoto!
Kwa wanawake mafanikio maana yake ni tofauti kabsa na mwanaume!
Ona maana ya mafanikio kwa wanawake:
1. Mafanikio kwao maana yake ni bahati ya kupata mwanaume mwenye uume Wa kusimama imara na wenye ufanisi wa hali ya juu wakati Wa tendo la ndoa
2. Bahati ya kupata mwanaume mwenye upendo wa dhati na anayejituma kitandani kumkuna mkewe maeneo yote yenye utamu na kumfanya akojoe zaidi ya marambili na kumfksha kileleni!
3. Mafanikio maana yake kuolewa, Kupata raha ya kitandani toka kwa mtu mmoja tu, kumilki Mme, kupata mtu wa kulala nae usku, mlinzi, body guard, ngao nk. Atakayekujali kwenye majanga na raha!
4. Mafanikio maana yake ni kucontroll uchumi wa mwanaume wake zaidi ya 75% kwa manufaa ya family!
5. Maana yake ni kumdhibiti mwanaume kutoka kwenye uzinzi, ndoa za mitala na ulevi wa kupindikia
6. Mafanikio ya mwanamke ni kuzaa watoto!
7. Mafanikio ya mwanamke ni utulivu ndani ya nyumba yaani amani na upendo
8. Mafanikio maana yake ni kuwa na mwanaume mcha mungu!
Huo ndo ukweli wenyewe! Sasa wale wanawake mnaokomaa na pesa jueni kwamba nyinyi mafanikio yenu sio pesa Bali ni mapenzi ( utamu)!
Anayepinga atuambie yeye mafanikio kwake maana yake nin!!