Pete ya uchumba "Tanzanite" nitapata wapi?

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,527
3,810
Wadau,

Naomba kufahamu kwa hapo Dar nitapata wapi pete ya Tanzanite kwa bei nzuri tofauti na sehem wanazouza milioni mbili/ tatu?

Thanks
 
Unataka uuziwe tanzanite kwa bei rahisi?!....labda huyo sonara akuoe naww
 
nenda posta mtaa wa indila Gandhi kuna maduka ya jewelry mengi utashindwa we we tu
 
Mmh Dada yangu we noma...we si mwenyeji wa Dar muelekeze jamaa..we si umeniacha huku mkoani na familia??
Hahaha kaka nitake radhi bhanaa kwani nikiwa mwenyeji ndiyoo nitakuwa mwenyeji hadi kwa masonara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom