Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,688
- 17,107
Juzi kati nilikutana na shogangu hapo Mcity, akawa yupo bothered!
Akanilalamikia
Money Penny me nina mpenz wangu tunapendana sana sana sana
Lakini huyu bwana me simwelewi kabisa sikuhizi ni kama mapenz yangu kwake yamekufaaa, huu ni mwaka wa 2 na wa mahusiano lakini yupo addicted na pornography
Na tukifanya mapenz nikawa naona simridhishi, nikaamua kum join kwenye sekta ya porn, akawa ananifanyia kama wa kwenye porn ndio anaskia raha namwona kabisa yupo satisfied
Lakini money penny me haya mambo ya porn hata siyapendi kabisa ila nikaamua kujitoa sadaka
Tukaangalia porn for 6 months bdae nikabamba sms zake ana chat na side chic wanaonyeshana maungo ya miili yao anafurahi mwenyewe na washakutana wakapigana dudu na kufirana
Hii ni rlshp ya 2yrs naaa na bwana nampenda sana ila sasa sijui nafanyaje tena?!
Kuchanganya mapenz na porn kumeniulia mahusiano hata sielewi wanaume huwa wanataka nini jamaa!
Eti wana JF, huyu shogangu afanyaje?! Bwanake naona kaota mapembe sa sijui tumwongezeeje mkiaa?!