Wenye uzoefu na harusi msaada!!

Kaa chini na wa ubavu wako mpange ni nguo,saluni,na mambo mengne yata waghalimu kiasi gani
Idadi ya wageni pande zote
Epuka mahitaji ambayo sio ya lazima mf.matarumbeta
Kiwango ulichonacho kinaweza kutosha au kisitoshe kutokana na mahitaji yenu
Jitahd kubana bajeti,kila la kheri
 
Hili swali lako ni sawa na kuuliza kujenga nyumba milioni 10 zinatosha? ?

Inategemea unataka harusi ya namna gani? Katika mazingira? Watu wangapi? N.k harusi hata milioni 2 zinatosha.
Mkuu mipango ya kujenga naielewa saana ila hapa kwenye harusi bado sina hata uzoefu!!
 
Kaa chini na wa ubavu wako mpange ni nguo,saluni,na mambo mengne yata waghalimu kiasi gani
Idadi ya wageni pande zote
Epuka mahitaji ambayo sio ya lazima mf.matarumbeta
Kiwango ulichonacho kinaweza kutosha au kisitoshe kutokana na mahitaji yenu
Jitahd kubana bajeti,kila la kheri
Ahsante ila kwenye hili la saluni na nguo sidhani kama litanigharimu saana !!
 
Mkuu mipango ya kujenga naielewa saana ila hapa kwenye harusi bado sina hata uzoefu!!
Vinavyomaliza budget ni

*Matumizi yako na bibi harusi. Ongea naye mpate huduma za kawaida siku ya harusi kama saluni nk
*chakula na vinywaji. Alikaa watu wachache na kusiwepo na protocol nyingi kwenye vyakula na vinywaji
*ukumbi chukua wa kawaida na kwasababu watu watakuwa wachache basi utakuwa mdogo.
*mc anaweza kuwa ndugu yako. Matarumbeta misic, chukua ya bei nafuu
 
A

Ahsante broo meipenda hii!!
 
Mipangilio muhimu maana ukikurupuka tu kutaka harusi gumzo, hio mil 6 ni gharama ya bi harusi pekee yaan mavazi,viatu,urembo na saluni.
 
Back
Top Bottom