Jamani wana JF nambeni msaada wakimawazo kuna msichana nimetokea kumpenda sana na yeye anaonesha dalili zote zakunipenda chakushangaza nikimtogoza anakataa nimejaribu zaid ya mwaka 1 sasa...
Hivi wanawake mnaokataa kuishi na watoto wa mwanaume mnajielewa kweli nyie
Hivi unategemea nitakupenda na kukunyenyekea wakati hutaki kuishi na wanangu. Endelea kujidanganya tu
Mrejesho
Jf hakuna...
Kuna katabia huwa sikipendi kwa hawa viumbe wanawake Especially mabinti. Yani sipendi hii tabia,
Ni hivi unakuta binti umemzidi umri sawa Lakini anatembea watu wakubwa zaidi yako kiumri alafu...
Awe na umri miaka 35+
mkoa awe anaishi Tanga mpaka akhera
awe na watoto sio chini ya wa5
Kuhonga sijui kusema kweli,
Awe na makalio yasio pungua Tani 6,
Awe na rangi Ya kijani
uzito wake wa mwili...
Wanawake mlio bahatika kuolewa ni kitu gani kinawasibu katika ndoa zenu?
Kwanini mnapenda kujirahisisha sana? Hamuoni kama mnajidhalilisha wenyewe na kupelekea mume au waume zenu kudharaulika...
Kama marudio mnisamehe but kuna kitu cha kujifunza hapa
By darasa la mapenzi
Wataalamu wa maswala ya mahusiano wanaamini kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana...
Habari wakuu,
Suala la mahusiano hasa kwa wasichana limekuwa na changamoto na hii imepelekea wasichana hao kumng'ang'ania mwanaume hata kama hampendi.
Hii imepelekea wasichana hao 'kujishusha...
Ni binti alishahitimu masomo yake. Sheria sizijui amenipenda na aliahidi kunipa chochote..sijataka kumjibu vile ndio amemaliza kidato cha sita na sasa anaingia chuo.
Kwa kuwa alizoea kuniomba...
BAADA YA KUTOA USHAURI KWA BINTIE, BABA HAKUMUACHA NYUMA KIJANA WAKE WA KIUME ALIMPA BUSARA ZIFUATAZO KATIKA KUTAFUTA MKE.
Mwanangu kwa unyenyekevu mkubwa napenda niwe mkweli kwako. Usiweke...
Kama kichwa kinavojieleza,
Mdada ni ipi sifa kuu na muhimu zaidi kwako ambayo ukimkuta mwanaume mwenye sifa hiyo basi huta hangaika kutafuta mwingine.
Usiweke sifa zaidi ya moja kwasababu...
Ni nini faida ya kupiga chabo ? Kusingekuwepo na watu wanaopiga chabo kama kusingekuwa na faida ,lazima kutakuwa na faida ,jamani msiwe wachoyo hebu tuelezeeni ,inasemwa kuwa wazaramo na...
Wakuu kumekuwa na tabia ya hawa madem zetu kuomba omba hela oo mara hela ya kusuka ooo mara hela ya nguo hivi nyie dada zetu mnao omba vipi hamna wazazi wenu ama ndio maana tuna hit and run sababu...
Kwa muda mrefu kumekuwa na taarifa nyingi kuhusu unyanyasaji ndani ya ndoa. Taarifa hizi zinaonesha kwamba vitendo vingi vya unyanyasaji vinafanywa na wanaume dhidi ya wanawake. Hili kwa kiwango...
*✍TAFSIRI YA SHUKA KITANDANI*
_ KWA MWANAMKE ALIYEFUNDWA SHURTI SHUKA LIONGEE KITANDANI....,SIO WAJITANDIKIA TU KITANDA KAMA MSUNGO HAPANA......._ *TUANGALIE...
Hii haitakuwa mpya kwenu maana ni upepo wa kawaida wa karne hii
Kwakuwa yamenikuta na mimi basi nafurahi kuwa miongoni mwa hao waliotendwa kabla yangu
Naombeni msaada mwenye full Audio ya wimbo...
No kweli kuwa sio jambo LA kukana/kupinga kwamba wanaume tunapaswa kulaumiwa juu ya sex before marriage na kusababisha watoto out of wedlock.
Nyie akina Dada mnawaamini vipi wanaume? Hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.