Mpenzi wangu anataka sana nimpe mimba; je, ananipenda?

jerryempire

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
5,128
8,650
jamani habarini ndugu,me ni mwanaume umri miaka 27,ninampenzi wangu,na tunapendana kinachonipa tabu ni kwamba mpenzi wangu anatamani sana nimpe mimba kabla ya ndoa,sasa najiuliza ananipenda kweli au anaweza kuw na lingine msaada
 
Kuna mawili hapo anataka mimba ili apate kisingizio cha kupata huduma ata mkiachana au kama una vimali vyako basi ndo vinamtoa mate anataka aanzishe familia hapo maisha magumu huku mtaani ukisubir kutongozwa na mwanaume Imekula kwako ni hayo tu

Aisee wewe Mdada naanza kukupenda bure unakuwaga mkweli unajua
 
jamani habarini ndugu,me ni mwanaume umri miaka 27,ninampenzi wangu,na tunapendana kinachonipa tabu ni kwamba mpenzi wangu anatamani sana nimpe mimba kabla ya ndoa,sasa najiuliza ananipenda kweli au anaweza kuw na lingine msaada

Sasa unatuuliza kwa sisi ndo mpenzi wako?
 
jamani habarini ndugu,me ni mwanaume umri miaka 27,ninampenzi wangu,na tunapendana kinachonipa tabu ni kwamba mpenzi wangu anatamani sana nimpe mimba kabla ya ndoa,sasa najiuliza ananipenda kweli au anaweza kuw na lingine msaada
Ana umri gani? maana wengi huwa hawapendi sema wanaogopa umri kumtupa mkono
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom