Happy Birthday ICHANA

Happy Birthday ICHANA

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2010
Posts
15,145
Reaction score
5,574
It is 1st June....

Special day for ICHANA

Its her birthday
ICHANA sina maneno mengi ya kuandika juu yako ila kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa kwako. Mshukuru MUNGU wako maana ni kwa rehema na neema zake tu ndio maana leo unasherehekea siku hii muhimu kwako. Jaribu kufikiria ni ndugu na marafiki wangapi umewapoteza mpaka kufikia leo. Tafakari piga magoti mshukuru MUNGU na la muhimu jitahidi kutenda yaliyo mema zaidi na zaidi.
ICHANA washukuru sana wazazi wako kwa malezi waliyokupa hadi leo. Kumbuka kuna watoto wengi wanakosa malezi ya wazazi wao na kuishia kuharibikiwa maisha yao lakini wewe umepata rehema ya kukua mikononi mwa wazazi.
ICHANA sema pia asante kwa ndugu na marafiki zako kwa sapoti wanayokupa kila siku maishani, kumbuka hii ni dunia na kamwe huwezi kuishi peke yako hata uwe maskini au tajiri kiasi gani.

Mwisho ICHANA tunajifunza kupitia makosa yetu maishani, na wewe jifunze katika makosa yako ili sasa unapoanza mwaka mwingine upige hatua mpya ukiwa na matumaini na furaha kuu maishani mwako.

Kumbuka maneno yako haya "Nitaimba kwa sauti kuu ya kumshukuru MUNGU".

Jamani tumtakie heri ya kuzaliwa mwenzetu ICHANA

Happy-BirthDay-Present%5B1%5D.jpg


Copy to: sungura1980, miss neddy, Kaizer, DEMBA, christine ibrahimu, miss chagga, The Boss, Invisible, Mtambuzi, watu8, Miss Bantu, lara1, ladyfurahia, amu, Kunta Kinte, Dinazarde, Asprin, Mashaxizo, Rocky, Mndengereko, utafiti, uran, Mentor, Nyani Ngabu, evelyne Salt, Mamndenyi na wengineo wooote
 
Happy birthday shem wangu ICHANA,,Mungu akujalie maisha marefu ya Furaha,Afya njema,Amani na Mafanikio tele!Mzidi kupendana na kaka yangu Mokoyo!Kweli shem unapendwa,saa sita usiku kakangu halali anakumbuka tu kukutakia heri ya kuzaliwa!Safi sana!Happy birthaday ICHANA
 
Last edited by a moderator:
happy bday mamito! Mungu akubariki uishi kuona watoto wa wajukuu zako
 
ICHANA happy birthday to you!!! 1st June is also my birthday
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom