Mwanamke msumbufu sana jamani.

Mimi hata sijaelewaaa mkuuu, but km kuna mtu anakusumbua tena mwanamke mpotezee tu
 
pole sana mkuu ila sijapenda kuona unashindwa kufanya mambo yako kwaajili yake

sijapenda pia kama kweli umeacha chuo kwaajili yake
huo ni mtihani ambao mungu amekupa

bado unayo nafasi vumilia japokua katika thread yako sijaona imani yako juu ya hili

ila nataka nikwambie tyu kua na subra kumbuka kisa cha nabii yusuf (rahim allahu)

hakika ya subra haikuwai kumtupa mtu

we ishi uku ukitambua kua mungu anakuona mungu anashuhudia mapito yako

cha muhimu wewe ni kuomba mungu tena sio akuondoshee hilo jambo hapana

omba mungu akufanyie wepesi ,akupe subira katika matatizo

i swear iko siku yeye mwenyewe atadhalilika kupitia kwako wewe

ikiwa tyu utafanya kama nilivyo kueleza


asalaam alykum
 
Ni mtoto wa kiume
Uzoefu unaonyesha kwamba watoto wa kike ndio hulia juu ya mapenzi.

Lakini kizazi hiki naona kuna MABADILIKO.

Nyie wavulana wa leo jiandaeni kutawaliwa na wasichana wa leo. Maana hakuna namna nyingine ikiwa hamuwezi kukabiliana na changamoto.

Yaani mtoto wa kike ana IQ kubwa kuliko wewe? Angalia atakuoa aisee.
 
Huyu jamaaa kuna kitu hatuelezi vizuri haiwezekani mwanamke uwe hujawa na mahusiano naye akufatilie kiasi hiko

Kunywa maji tuliza nafsi afu tueleze vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom