Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna binti nilimsaidia kupata kazi wiki iliyopita amenipigia simu Leo ameshukuru na ameniambia kesho anataka kunipa zawadi nzuri. Nimekubaliana naye ila changamoto ni mahali pa kupewa hiyo zawadi...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Hellos, Mwenzenu nimejikuta nimemtamani mdada anaonekana kanizidi umri na uwezo kidogo, huyu dada tunafanya naye kazi kampuni moja. Kuna namna tunaangaliana ni wazi kabisa tunatakana. huyu dada...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Hii kweli kali, Naomba tumsaidie huyu ndugu yetu aliekosa raha na amani ya kuishi duniani. Kuna mdada alimtokea akakubali sasa kila siku zinavyoenda ni kupigiwa simu na msg na huyo dada yaani...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Mimi ni kijana ambaye tangu nilipooa nimemaliza mwezi mmoja na siku mbili,awali kabla sijaoa nilikuwa na uhusiano na wasichana wawili ambao niliachana nao ndipo nikamuoa huyu niliyenaye ambaye...
9 Reactions
188 Replies
20K Views
Mimi ni kijana nipo naishi dar natafuta marafiki wa kuchat nao na ku share mambo mbalimbali ya kimaisha. Mwenye kuwa interested anipm
0 Reactions
8 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Mtunzi:Mulabha Msambazaji:Kapesly (Mimi) Phn:0-655-777-272 Kama umevutiwa nayo unaweza nniambia, your reply my responseee Mwanzo Nimajira ya jioni ivi, gari aina ya benz nyeusi, inaonekana...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Toka nipo mdogo nasikia tu usikutane binti wa kitanga hutakumbuka kwenu, mara hutomwacha kamwe, yaan kila aina ya vihoja mpka nikawa najisemea kweli nitakuja kumpata binto wa kitanga mie, nikawa...
0 Reactions
26 Replies
15K Views
Kwa mwanamme anayeguswa na uzuri wa wanawake wa kitanzania,naomba tuwape sifa zao kupitia uzi huu. Kwanza,ni wavumilivu,wanahuruma,ni wazuri kwenye mapishi. Wanajua kutubembeleza pindi tunapokuwa...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
1 ALIKUWA mwanamke! Tena mwanamke wa haja! Alisimama pale, uso wake ukiwa umeelekezwa kwangu; kama anayesubiri nifanye kazi yangu! Naapa kuwa, kwa mara ya kwanza, katika maisha yangu ya udunguaji...
6 Reactions
4 Replies
7K Views
Wakuu bila shaka humu mpo poa.. Baada ya utafiti uliopita kuonyesha ulikua na ukweli mwingi sasa huu ni mwingine na ni zaidi ya makinikia Ni kwamba baada ya utafiti wa mda nmegundua wanaume...
0 Reactions
87 Replies
10K Views
Naulizia tu maana sijawahi kuona japo nasikia, hivi wanaanzaje anzaje? Je wewe msomaji umewahi kutongozwa na mwanamke?
2 Reactions
121 Replies
14K Views
Hakuna kitu nakipenda katika kunogesha uhusiano kama kufanya shopping na mpenzi wangu, iwe kumfanyia shopping yeye binafsi, au shopping ya vitu vya nyumbani... Hapa siongelei zile shopping za...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Inatokea binti ana rafiki wa kiume rafiki mzuri tu hata muda mwingine anakutongoza ila labda upo unamchunguza kama anafaa au vipi. Ikatokea siku ukakwama kifedha kama rafiki ukamuomba akukopeshe...
22 Reactions
341 Replies
27K Views
Naomba niwasalimu katika Majina Yote Yashindayo Yote. Kila Ijumaa huwa tunakaa na Wafanyakazi wenzangu kutathamini Yaliyojitokeza Katika Siku za Wiki Kuanzia Jumatatu hado Ijumaa. Mkuu wetu ni...
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Good day, habari zenu wana Jamii Forums. For a time now nimekuwa Single but Now its a perfect time kuwa na mtu ambaye tutatengeza Family. I'm very serious on this na kama kweli unatafuta mwenza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Asalam aleykum wana jF natafuta mchumba wa kumuoa sifa (1) awe anajua ugumu wa maisha (2)awe na elimu yoyote tu (3)kabila awe mmakonde,mmwera,mzaramo,myao,mmakua,yatapewa kipaumbele au kifupi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuwa single kwa muda sasa,mimi ni ME natafuta rafiki wa kike wa kubadilishana nae mawazo, dini yoyote na umr wowote kikubwa ajitambue.. Naishi DSM, kwa ambay yuko tyr anakaribishwa PM.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanawake wenye mat*t makubwa imebainika ndio wanaongoza kwa usaliti Hawatulii na mwanaume mmoja Wapo kimaslai sana 96% Hawajatulia hata kidogo. Kazi kwenu ndg zang Mimi nimeshaanza kuwakwepa
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Ni mpole,ananidhamu,unyenyekevu na hofu sana ya kiimani lakini leo hii sifa hizo ni sawa na chui aliyevaa ngozi ya kondoo. Sina mazoea ya kushare nguo za ndani,lakini kwa hili nililoliona kwake...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
hivi wanawake wakibeba mimba wanatufanyia makusudi au nini? Yaani hii mimba imekua kero maana kila siku inakuja na mpya mara anataka chipsy mayai, mara malta, mara sentiana, mara piza, nashangaa...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom