Very Surpringly-Sijapata Jibu Nisaidieni

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,450
2,000
Naomba niwasalimu katika Majina Yote Yashindayo Yote.

Kila Ijumaa huwa tunakaa na Wafanyakazi wenzangu kutathamini Yaliyojitokeza Katika Siku za Wiki Kuanzia Jumatatu hado Ijumaa. Mkuu wetu ni Mwanamke na Mdada Tu na Huwa Hatuogopani tunapokuja kwenye swala la Kuongelea hali halisi ya Maumbile yetu. Hasa Hasa Mahusiano.

Kwa kuwa yeye ni Mdada Pekee kwenye Kwenye Kikao Chetu na Kwa kuwa tumezoeana sana Baada ya Maongezi nahisi kuna kitu kilikuwa kinaendelea kati yake na Marafiki Zake kwenye Magroup yake ya Mitandao. Sasa Ghafla akatuomba attention na akataka tumpe Jibu na Kiukweli Personally Sijampa Jibu ambalo yeye alilitegemea.

Aliongelea kuwa katika maongezi yake na hao marafiki zake wamekuja kungundua kuwa Wanaume walio Wengi wenye Maumbile yao Madogo ( Vibamia) huwa Mara Nyingi ni Player ukilinganisha na wale wenye \maumbile Makubwa kama ya Punda. Aiendelea mbele na kufafanua kuwa Wanaume wengi wenye maumbile madogo huweza kusex na wanawake wengi kwa siku kwa kuwa kutokana na Maumbile yao kuwa hawawezi kupiga Mshindo ambao unaweza kumaliza hamu zao zote ukilinganisha na Huyu Ambaye Ana Umbile Kubwa ambapo akikojoa anakojoa mshindo mkubwa ambao unaweza kumfanya akakaa hata zaidi ya Siku zaidi ya Moja bila kuhitaji lile suala tena.

Mimi Kwa haraka haraka nilimjibu kuwa hakuna formula yoyote inayohusiana na Ukubwa wa Umme na Freqency ya Kusex. Hiyo inategemeana.

Katika Kumdadisi nikagundua kuwa Mmoja wa Marafiki zake ana Mwanamume ambaye si wa kimaumbile makubwa kwa hiyo akiangalia jinsi ambavyo hajatulia basi anafananisha hiyo story na Maumbile.

Najua humu tupo kwa ajili ya Kujifunza , Kumbuka hili ni hoja ambayo Mdada anahitaji kujibiwa. Mimi Sipo kwenye Ubamia au UPunda ila sijisifii ila Hakuna Kitu ninachokipa Attention sana kama nikiwa Faragha na Huyo Mwenza , Yaani hata aje Mgeni lazima nimalize kilichopo kwetu ndiyo nikamuattend huyo anayehitaji msaada. Na naweza Piga Muda wowote as long as hatujakwaruzana. Yaani ni mmoja ninayeamini katika kutonyimana na kutokuwa na Ratiba Kwenye hili Suala kabisa. Maadamu tupo Huru lazima show iendelee ukizingatia ndiyo Starehe peke inayompa Mwanadamu maximum Satisifaction.

Wenzangu What is Your Experiences
 

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,450
2,000
Ofisi yenu boss wenu mwanamke ana share mambo yake ya ma group ya watsaap?
nimetamani ofisi yenu kwa kweli..

ofisi zingine ni ripoti tu na kujibu malalamiko
life is unfair

Mkuu Kuna Maisha nje ya Ofisi Mkuu .. Lazima iwe hivyo na tunashauriana na tunachoamini nikuwa Boss it is just a marely Position lakini Doers ni suborniate kwa hiyo Boss akiwa na Mahusiano mabaya na doers report haziwezi kuwa presetable ndiyo unakuta watu wanafanya late hours.

Pia tunaamini kila mtu ni mtu mzima na anapashwa kutimiza wajibu wake kwa kuwa kupitia hiyo kazi ndicho kinachomfanya aitwe fulani na kuweza kusettle mambo yake kiufasaha.
 

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,450
2,000
Bosi wenu yupo poa sana si bosi wetu muongo muongo harafu hapendi challenge

Hahah Binadamu yeyote akishakuwa Muongo basi tambua hajiamini.... Pole.. Hata Hivyo siyo kwamba hana Changamoto ila ni mwepesi kujirudi na kuelewa mambo Pia
 

scorpio me

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
5,680
2,000
umezunguka weeee...inshort una kibamia...ila usijali ni creativity yako tu kune 6*6
 

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,394
2,000
Ukubwa wa "kitendea kazi" kwa wanaume huwapa overconfidence kwenye mahusiano na kuwafanya wawe rigid na wasio na bembelezo la kimahaba!!! Wanajua kuhonga saaana!! Lakini sio kubembeleza wala kupenda kwa dhati (kuna exceptions) hawa ndio sio watulivu.

Vibamia havijiamini, vinajishtukia shtukia kila wakati. Vinajua kung'ang'ania, kulilia mzigo hasa kukiwa na threat ya kutemwa!!!
Vina wivu kama honeybudger!

Wadada "wanaofuga visamaki" ni mtihani kwa wenye ladies finger.
Huwaongopea vibamia kuwa wamewafikisha kumbe kwenye magroup wanawang'ong'a.
Story za kuwang'ong'a ndio husababisha wadada wengine kudhani mambo iko kwa "mandingo" mwishowe hujikuta wanatangatanga tu!!!

Ukiwauliza mashine kubwa na kidude cha mbuzi ipi tamu wanaishia kusema "inategemea"

Niishie hapa angalau kwa sasa.
 

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,450
2,000
Ukubwa wa "kitendea kazi" kwa wanaume huwapa overconfidence kwenye mahusiano na kuwafanya wawe rigid na wasio na bembelezo la kimahaba!!! Wanajua kuhonga saaana!! Lakini sio kubembeleza wala kupenda kwa dhati (kuna exceptions) hawa ndio sio watulivu.

Vibamia havijiamini, vinajishtukia shtukia kila wakati. Vinajua kung'ang'ania, kulilia mzigo hasa kukiwa na threat ya kutemwa!!!
Vina wivu kama honeybudger!

Wadada "wanaofuga visamaki" ni mtihani kwa wenye ladies finger.
Huwaongopea vibamia kuwa wamewafikisha kumbe kwenye magroup wanawang'ong'a.
Story za kuwang'ong'a ndio husababisha wadada wengine kudhani mambo iko kwa "mandingo" mwishowe hujikuta wanatangatanga tu!!!

Ukiwauliza mashine kubwa na kidude cha mbuzi ipi tamu wanaishia kusema "inategemea"

Niishie hapa angalau kwa sasa.

Good, Asante You have said at Least listenable and understandable Comment.. Thanks
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom