Kwa mwanamme anayeguswa na uzuri wa wanawake wa kitanzania,naomba tuwape sifa zao kupitia uzi huu.
Kwanza,ni wavumilivu,wanahuruma,ni wazuri kwenye mapishi.
Wanajua kutubembeleza pindi tunapokuwa tumechoka na kazi,ingawa wanapenda fedha ila wanajua sana kuzitumia hizo fedha katika kununua vifaa vya nyumbani
Hujali sana ndugu,hutupatia haki yetu kwa bashasha zote pindi tunapohitaji.
Ongezeni sifa zingine,,,,,