Dear brothers /Sisters hakuna mwanamke/mwanaume mbaya duniani,mwanamke/mwanaume yeyote anayepewa matunzo ya upendo ,kuheshimiwa ,adabu na kusifiwa na mume/mke wake ,humfanya kuwa na nuru na uzuri...
Habarini ndugu zangu.
Baada ya miaka mitatu ya mahusiano, mwezi wa nne mwenzangu alinimwaga bila sababu. Nilimuheshimu, nilimjali, nilimsupport kwa mambo yake nk. Aliniambia kanichoka na upendo...
Unafanyaje pale unapokua na strict parents wasioruhusu kutoka usiku?
Okay unaombaje ruhusa kwa mzazi kama huyo?
Au niseme unamshawishi vipi akupe ruhusa?
Unatoa wapi guts za kuanza kuomba ruhusa...
Hello guyz,wakuu poleni na Majukumu.
kwa walioachiwa watoto wadogo/wachanga miezi 3 -5 Kwa sababu mbalimbali na Watu wao wakaribu/ndugu/jamaa/rafiki ,walifanyaje mpaka wakakua bila matatizo...
Bila kupoteza muda
Dada mmoja mjini Bukoba akiwa hajielewi kwa kile kilichompata, ajikuta hana sehemu zake za siri (Nyeti Zake) baada ya kulala na mwanaume msukuma katika nyumba ya wageni ya Super...
Ikiwa ni siku nyingne tena tunakutana kwenye jukwaa letu pendwa la MMU.
Leo naomba ushauri kidogo juu ya hili swala,
Kuna bidada mmoja tulifanya nae biashara fulani, baadae tukaendelea...
jamani poleni na majukumu ya kila siku mimi nahitaji kuoa na nini msichana wangu niliyekua nae kwa muda wa miaka sita toka enzi za secondary lakini imekuja kuwa vigumu kumuoa kwani mama yangu...
Salama jamani kama uzi unavyojieleza hapo kuna rafiki yangu wa kike kapata mchumba na wanamtoto mmoja hadi saivi mipango ya ndoa wanayotoka siku nyingi...
Asalam!!
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu, ni takribani mwezi sasa unaelekea kuisha tangu hii familia iwepo nyumbani kwangu!
Habari yenyewe kiundani wake iko hivi;
Mwenye familia ni...
Habari wapendwa.Katika maisha yetu naamini kwa namna moja ama nyingine kuna waliotukwanza au tuliowakwanza. Leo nataka tuwatangazie MSAMAHA. huenda ikawa ni rafiki/ X wako/ mume/mke/Jirani...
Umri ndo huu umefika, sikutaka kukurupuka kuja hapa kuandika maana kuna kuna wengi wenye kutafuta waume niliona isiwe shida ya nami kuandika niliwafuata baadhi ya wale niloona wana vigezo...
MAMBO YANAYOVUNJA MAHUSIANO
1. Kutokuwa na mawasiliano ya
karibu na mwenzi wako.
2. Kutojali maumivu ya mwenzi wako.
3. Ubishi usiokuwa na maana.
4. Kupenda kujihesabia haki.
5. Kutokubali makosa...
Salaamu waungwana muwazima ndugu zangu
Well kichwa cha habari ilikua swali ambalo niliulizwa na mwenzangu kipindi cha nyuma kidogo wakati bado hatujafikia ndoa. Binafsi nilijiona kama mkosaji...
1-> Utumiaji mbaya wa mitandao ya kijamii √
2-> Kutokupenda kufanya kazi za nyumbani√
3-> Kujipara hadi sura yako ya asili inasahaulika √
Ni kweli wanaume hupenda mwanamke mrembo na mwenye...
Ukweli ni kuwa watu wawili wanapoamua kwa dhati kuwa katika mahusiano ni kwamba wanakuwa tayari katika akili zao wamejenga matarajio au matumaini ya kunufaika na uhusiano husika, hata kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.